CHADEMA waja na sera mpya ya upepo wa kisulisuli itakayowaunganisha wapinzani

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,777
141,649
Chadema wameamua kuja na sera ya upepo wa kisulisuli ambayo inalenga kuwaunganisha wapinzani ili wawe kitu kimoja katika mkakati wa kuiondoa CCM madarakani.

Upepo wa kisulisuli ni kaulimbiu inayotumiwa sana na mchungaji Rwakatare wa mlima wa moto.

Source Tanzania Daima!
 
Siasa za bongo bana, kwani huo upepo utajenga shule au kununu dawa mahospitalini. Fanyeni kazi, lipeni kodi fullstop.
 
CCM nao upepo wa.kisuli suli umemleta huyu
tapatalk_1571921669725.jpeg
 
Chadema wameamua kuja na sera ya upepo wa kisulisuli ambayo inalenga kuwaunganisha wapinzani ili wawe kitu kimoja katika mkakati wa kuiondoa CCM madarakani.

Upepo wa kisulisuli ni kaulimbiu inayotumiwa sana na mchungaji Rwakatare wa mlima wa moto.

Source Tanzania Daima!
Kwani bado chadema wapo Tanzania?
 
Kwa siasa za matukio namna hii ipo siku watakuja na Sera hata za gwajimika n.k😂
Ujinga wa upinzani nchi hii ni mwingi kuliko miaka tangu kupata Uhuru.
 
Back
Top Bottom