Chadema waitosa rasmi CUF kambi ya upinzani bungeni. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chadema waitosa rasmi CUF kambi ya upinzani bungeni.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Baba Tina, Jan 31, 2011.

 1. B

  Baba Tina Senior Member

  #1
  Jan 31, 2011
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 131
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Chama cha demokrasia na maendeleo (chadema) kimesema hakiko tayari kukishirikisha chama kilichoko serikalini kwenye kambi ya upinzani. Katibu mkuu wa chama hicho amesema chama hicho cha chadema kiko tayari kuvishirikisha vyama vingine kwenye kambi hiyo endapo vitasitisha uhusiano na chama cha CUF ambacho kinaunda serikali ya zanzibar pamoja na chama cha mapinduzi. Source: TBC news leo usiku.
   
Loading...