CHADEMA waiteka Urambo

jedrick

Member
Aug 3, 2010
49
22
Ni mikutano ya hadhara iliyokuwa inarindima kata 4 mfululizo katika jimbo la urambo mashariki. Mikutano hiyo ilikuwa ikiongozwa na Paul Andrew Maganga baadae kuhitimishwa na mkutano mkubwa wa urambo mjini uliohutubiwa na Dr. Slaa.
 
Mkuu huo ni ushaidi mwingine wa jinsi maccm hali inavyvo zidi kuwa mbaya.Sasa fanya kapicha Mkuu
 
uwiiii kufikia mwakani watani zangu CCM watakuwa chali ile mbaya na inawezekana tukafanya mazishi kabla ya 2015.
 
wapo wanapanga plan B baada ya ile ya mwangosi,soweto na morogoro kutokuwa materialized.
sijui itakuwaje huko mbele ya safari.

kwani kwao sasa ni matumbo joto.

ref nchembe linakurupuka kwa kusema mambo ya hovyo utadhani limekoswakoswa na mshale kwenye fumanizi la ngono kwa wake za makada wenzake wa gambaz party.
 
Ni mikutano ya hadhara iliyokuwa inarindima kata 4 mfululizo katika jimbo la urambo mashariki. Mikutano hiyo ilikuwa ikiongozwa na Paul Andrew Maganga baadae kuhitimishwa na mkutano mkubwa wa urambo mjini uliohutubiwa na Dr. Slaa.

Mkutano wa Tabora ulijaa watu wengi sana
 
wapo wanapanga plan B baada ya ile ya mwangosi,soweto na morogoro kutokuwa materialized.
sijui itakuwaje huko mbele ya safari.

kwani kwao sasa ni matumbo joto.

ref nchembe linakurupuka kwa kusema mambo ya hovyo utadhani limekoswakoswa na mshale kwenye fumanizi la ngono kwa wake za makada wenzake wa gambaz party.

Mkuu penye ukombozi kumwagika damu isiyo na hatia kawaida sana,waliyo hai wataendeleza harakati. Ukombozi siyo lazma unafaike nao mwanaharakati wapo ndugu zako,marafki,jamaa na familia watashangilia daima ukombozi wako,isitoshe nani atakayeishi milele.
 
wapo wanapanga plan B baada ya ile ya mwangosi,soweto na morogoro kutokuwa materialized.
sijui itakuwaje huko mbele ya safari.

kwani kwao sasa ni matumbo joto.

ref nchembe linakurupuka kwa kusema mambo ya hovyo utadhani limekoswakoswa na mshale kwenye fumanizi la ngono kwa wake za makada wenzake wa gambaz party.

kula like mkuu
 
Kura zingekua zinapgiwa jamii forums,chadema ingepita lakin saiv ni kwenye sanduku kura kwa kweli CDM kamwe hamtapita kwenda ikulu.
Kiukweli bado hamjajipanga na bahati mbaya mmeingia kwenye migogoro huku uchaguzi wa serikali za mitaa uko mbioni na hamna strategies zozote zile za ushindi.
Na kwa bahati mbaya saiv mnatumia neno ambalo litawaumiza sana,neno USALITI,kumbukeni tu mchimba kisima huingia mwenyewe.
 
Subiri na uone
 
Ni mikutano ya hadhara iliyokuwa inarindima kata 4 mfululizo katika jimbo la urambo mashariki. Mikutano hiyo ilikuwa ikiongozwa na Paul Andrew Maganga baadae kuhitimishwa na mkutano mkubwa wa urambo mjini uliohutubiwa na Dr. Slaa.

Paul Andrew, Mwalimu nampata sana, Kamua mtumishi, maadui zako wameanguka miguuni pako!
 
Wakati CCM wanauana wenyewe kwa wenyewe, CDM tumieni muda huu kujijenga kuazia ngazi ya kaya...
 
wakubwa hili jimbo tumkabidhi kamanda paul andrew Maganga, atakuwa mtaji mkubwa kwa cdm kwa hii kanda, nimefanya naye kazi nampata sana, hana hofu na chochote zaidi ya mungu.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom