CHADEMA waitapeli ACT, NCCR Mageuzi, APPT na CUF

Hapa tu ndio pamenifanya nishindwe kuendelea na makala yako, Rudi Kanisani ukatubu.

>>>>>Huyu jamaa anapaswa kuwahi Mirembe kabla hajaanza kutembea Uchi barabarani ...
 
hebu tuelezee kwanza "what is civics"? naona huu uzi wako ni full mixture, kama pilau ya zenj vile
 
Kifo cha ACT inalaumiwa CHADEMA badala ya mh Magufuli ambaye amekata ufadhiri uliokuwa unafanywa kwa chama hicho na CCM.
 
Aiseee hii nchi ina watu wa ajabu kweli, yaani huyu jamaa haeleweki nilisikia kumuelewesha chizi unajipa kazi ila kueleweshwa na huyu jamaa ni zaidi dah.
 
Leo hii Mimi Niko tayari kuunda Chama cha Siasa na akina Regina Mengi, Dewji, Bahreza, Abud, Kishimba, n.k najua fika Chama kama hiki ndio kitakuwa chama halisi cha Upinzani kupambana na propaganda za CCM na mbwembwe za CHADEMA na kwa mpango w Mungu tunachukua Nchi kwa sanduku la kura. Natoa mfano tu maana nikianzisha Chama vingine vyote vitakufa na ndio maana niko vizuizini.
Unapigana na adui usiyemjua!
 
CHADEMA INATAKA KUJIJENGA KWA KUUA NCCR Mageuzi, ACT, CUF, APPT, CHAUMA n.k NA CCM KUSHINDA MILELE.

Hali ya kisiasa nchini kwasasa haiko salama salimini. Mipango mingi inasukwa kila kona, wakati CCM wanawaza kumiliki nchi kama Monopartism na kupoteza upinzani, upande WA pili CHADEMA wanawaza kuwa na Doublepartism nchini.

Malengo ya CCM na CHADEMA yanategemeana, CHADEMA wakifanikiwa Doublepartism Ruzuku inaweza kupigwa Stop na wakaangukia Choo cha kike, CCM wakifanikiwa Monopartism maisha ya wananchi yatakuwa magumu sana na Silent violence zitakuwa nyingi sana. Nakupinduana itakuwa ni jambo la kawaida sana.

Leo hii tunaona mikakati ya kuhakikisha tunabaki na Chama kimoja cha Upinzani inaendelea ikiwemo kufutia usajili vyama vingine vyote vidogovidogo na vile vyenye nguvu kuhakikisha watu wao mhimu wanahamia CHADEMA na kusababisha vyama hivyo navyo kufa kabisa na kubaki na chama kimoja tu cha upinzani ambacho ni CHADEMA.

Msingi huu unaendelea kuivuruga CUF kwa malengo ya CHADEMA kukubalika Zanzibar, kuivuruga NCCR Mageuzi kwa malengo ya kupoteza historia ya ukongwe WA Siasa za upinzani, kuivuruga ACT ili kupunguza nguvu ya Zitto. Na ndio maana wamefanikiwa kumuacha njia panda Kuga Mzray na Appt yake na Rungwe kazimika na Chauma yake, malengo haya ni hatari kwa msitakabali wa maslahi ya Kambare wa MTO Ruvu kuvua nyoka badala ya samaki.

Leo hii ukiwa uliza wapinzani kwanini mnatoa taarifa za uongo za Deogratius Kisandu ikiwemo kushiriki kumuwekea vikwazo vya kimaisha ninyi na CCM, watakwambia Kisandu tunamjua madhara yake. OK, fine.

Nchi haitakombolewa na CHADEMA na wala haitajengwa na CCM Bali Nchi yetu itajengwa na Watanzania wenyewe. Kwa kuangalia nani ni bora wa kuweza kusimamia rasilimali za Taifa.

Malengo ya CCM na CHADEMA sio mazuri. Wao wanataka tuwe na vyama viwili tu ili wawe wanabadlishana madaraka kama U.S.A bila kujua vyama vyetu vimejaa waganga njaaa kibao. Huu upuuzi WA wakijinga nani atausikiliza na kuufuata? Ili hali tunajua fika ikulu mnagonga cheers kila mkiitwa halafu tukubali Two Party System, haaah, sisi sio wavuta unga kama wasanii. Tunajua Akili zetu zinawaza mapana sana.

Msingi wa kushika dolla ni kujijenga kiuchumi kwa chama husika na kuunda mpango mkakati wa kusambaza chama.

Mipango ya kuua vyama vingine ndio njia ya kujiua wenyewe. Nawatakia Siku njema na mafanikio mema katika siasa uchwara zenye mazingaombwe utapiamulo.

deogratius Nalimi Kisandu

3 Januari 2017.
Kahama-Tanzania.
WW USHACHAN
 
WW USHACHANGANYIKIWA SI BURE
 
Laana ulioipata kanisan mbaya kwel naona ushakua punguani
 
Back
Top Bottom