CHADEMA waitaka serikali kuwachukulia hatua watendaji wabovu [VIDEO] | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CHADEMA waitaka serikali kuwachukulia hatua watendaji wabovu [VIDEO]

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by kitungi, Mar 3, 2011.

 1. kitungi

  kitungi Senior Member

  #1
  Mar 3, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 134
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 2. p

  politiki JF-Expert Member

  #2
  Mar 3, 2011
  Joined: Sep 2, 2010
  Messages: 2,356
  Likes Received: 154
  Trophy Points: 160
  Huo ndio uongozi wa vitendo.
   
 3. Mwanaitelejensi

  Mwanaitelejensi Senior Member

  #3
  Mar 3, 2011
  Joined: Jan 30, 2011
  Messages: 104
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Inamaana hata rais wetu Kikwete nae achukuliwe hatua? Au RA, EL na wengineo?
   
 4. KIMBURU

  KIMBURU JF-Expert Member

  #4
  Mar 3, 2011
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 210
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  God bless you CHADEMA this is how things have to go. Inaonyesha ni jinsi gani mnaguswa na na dhiki za watanzani.
   
 5. Quinine

  Quinine JF-Expert Member

  #5
  Mar 3, 2011
  Joined: Jul 26, 2010
  Messages: 10,859
  Likes Received: 11,977
  Trophy Points: 280
  Shukurani kitungi kwa kuendelea kutuhabarisha kwa njia hii, hongera pia CDM kwa moyo wenu mlioonyesha kwa huyo mlemavu wa miguu aliyeandamana akiwa na mtoto wake.
   
 6. eliesikia

  eliesikia JF-Expert Member

  #6
  Mar 4, 2011
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 423
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 45
  Daaah kweli Slaa msomi saana... Ujue nilisikia alisomea utabibu ukiachilia mbali sheria za kanisa, leo ndio nime-confirm... Ameelezea vizuri kuhusu cleaving leg na kupinda kwa nyayo ya mtoto... Akagusia na possibility ingine kuwa hawezi kutembea kama kutakuwa na tatizo kwenye nerves na ubongo pia... Akashauri kidaktari kabisa kuwa upasuaji mdogo unawezekana....

  Kweli watu husema madaktari (MD) wana akili saana kupita madaktari(PhD)... Lakini Slaa anaonyesha kuvaa ngozi zote mbili hapa... Jamaa ni wa ukweli toka nimfahamu mwaka 2001 kwenye sekeseke la madiwani wa Karatu kutoa kodi za sokoni na baiskeli na bado wakaweza kujiendesha....

  Marvelous Leader, U deserved to be our senior Leader in our country!!
   
 7. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #7
  Mar 4, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Dah,nimefurahishwa saaana na msaada kwa hao walemavu!

  Tafaaadhali,msiwaachie hapo walipo sasa,kama mlivo ahidi waangalieni kwa karibu sana na Mungu atawabariki (sio lazima kisiasa,mna jiwekea hazina mbinguni kama mnatenda hivo kwa ajili ya kumfurahisha Mungu)

  God bless you
   
 8. K

  Kadogoo JF-Expert Member

  #8
  Mar 4, 2011
  Joined: Feb 26, 2007
  Messages: 2,072
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Walemavu wako maelfu sio kumsaidia mmoja kwa faida za kisiasa!!!!!
   
 9. nsimba

  nsimba JF-Expert Member

  #9
  Mar 4, 2011
  Joined: Oct 7, 2010
  Messages: 785
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  ni vema ukapongeza hilo la aliyesaidiwa,maana awezaye msaidia mmoja anaweza wasaidia wengine pia. huo ni utu na wala siyo siasa. wewe hushangai walemavu hao kuingia kwenye maandamano??!!!
   
 10. n

  nyantella JF-Expert Member

  #10
  Mar 4, 2011
  Joined: Dec 17, 2010
  Messages: 890
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  Mh. Mbowe kwa kinywa chake ametamka "Rais Wetu Kikwete" so kimya kimya CDM imemtambua JK kama Rais wa URT? hebu sikilizeni hiyo speech tena maana siamini masikio yangu! Mh. Regia Mtema naomba utusaidie mana siku si nyingi zilizo pita ulikanusha vikali thread ya Pasco hadi akaomba msamaha, sasa hii imekaaje.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 11. P

  PAMBANA Member

  #11
  Mar 4, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 74
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  jamani mbona siwezi kuona hiyo video
   
Loading...