CHADEMA waita Wahariri - Jumanne, 28 Julai 2015

Sawa. Tukutane tarehe 25.10.2015 ila naomba nikuhakikishie oktoba CCM haishindi, kama mlitegemea kuiba kura, nikupe taarifa tu kuwa kuna watu wataingia hapa Nchini tarehe 23 August mahususi kwa ajili hiyo...

Naona hutanielewa kwa sasa, tusubiri 23 August...
Heshima yako waambie hawa waliozoea bao la mkono kuwa mwisho wao ni oktoba 2015
 
Tunasubiri upepo wenu utulie. CCM ni chama kongwe
Kwani kwenu kunamsikitiko kwani sialikuwa ana sifa za kuwa mgombea upepo utulie vp tena chama kongwe kimepigwa na upepo Wa mgombea asiyefika tano bora wakati tano bora yote IPO ndani mnaweweseka nini subirini mafuriko mzuie na mikono
 
Ccm c mlimkata sasa mbona roho zinawauma

haya majitu majinga sana, usiku kucha lowassa lowassa, wamwache wabaki na chama chao na mgombea wao wa mfukoni,

lowassa anakwenda kuwatumikia wananchi kupitia (UKAWA)

uhuru kenyata aliitwa mwuaji, lakini wanachi wa kenya hawakujali maana uhuru kenyata alikua mioyoni mwao,

nini kimzuie LOWASSA na maneno ya mtaani wakati wananchi wanamwaminu?

Sote tulishuudia kwenye zoezi la kutafuta wadhamini,

jinsi maelfu kwa mamilioni ya watu walivyo muunga mkono na kujitokeza kila alipokwenda,

najua kuna hoja za kijinga watu wanasema LOWASSA alionga watu,

embu kwa akili timamu tujiulize LOWASSA anapesa kiasi gani za kuweza kuwahonga watu wengi kiasi kile? Kama sio majungu ya ccm?

Nikweli LOWASSA hakutakiwa ccm maana hata mtoto wa Bwana mkubwa alinukuliwa wazi wazi akitoa lugha za kibaguzi kwa LOWASSA, achila mbali nape,na kinana,

sasa ule usemi usemao,
JIWE WALILO LIKATAA WA ASHI LIMEKUA JIWE KUU LA PEMBENI,

mimi nawapa pole chama cha mapinduzi, nakuwaomba watulietu,kwani mwisho wao ndio umefika,

wamshukuru MUNGU hata kwa hiyo miaka 50 waliyopewa maana hilishauri sila mwanadamu bali lina mkono wa MUNGU,

walimdharau Askofu Zacharia kakobe alipo mpelekea Mh Rais waraka wa ujumbe kutoka kwa MUNGU wakadharau na ule ujumbe ndio unatimia sasa,
 
Sijui Nape Nnauye anatoa maoni, kasafiri? Simsikii tena maana anaimba taarabu sana za kumponda Ngoyai
 
Mnakula matapishi yenu ptuuuu....

Mkuu mbona unataka kuwa conservative ivi upo wap kwanza nije kukuona unamkumbuka everlenk, cute b, atoto kiwatengu watakucheka unaaibisha timu yetu
 
Nawakumbusha tu wanaccm wasisahau kumhimiza mkandaras wa ujenzi wa magereza, maake wafungwa ni wengi baada ya october, mafisadi haooooooo.
 
El apewa Othman Masoud kuwa mgombea mwenza.
Masoud ni mwanasheria mkuu wa Zanzibar aliefukuzwa kwa kukataa katiba ya chenge.
Ni kijana msomi na makini
Timu imetimia na mechi imenogaa
 
Back
Top Bottom