Elections 2010 CHADEMA waingiza Mungiki, Intarahamwe kuvuruga uchaguzi Igunga

janja pwani

Senior Member
Jul 27, 2011
104
9
Akiongea baada ya kuulizwa na waandishi wa habari mbunge wa ubungo John mnyika amekiri kuwasili kwa vijana hao akidai kuwa wamekuja ili kulinda kura wakiwa katika coaster 10, tunaomba jeshi la polisi liwe macho na vijana hapo sisi tunatambua lengo lao ni kwenda kuvuruga uchaguzi.
 
Magamba wanaweweseka! Si kwanza walisema walitoka Libya na Afghanistan? Mtajibeba!
 
Magwanda ni kawaida yao kufanya fujo. Huwa hawawezi kushinda bila kupiga watu.
 
aliyewahi kuwa mwenyekiti wa UVCCM mkoa wa Singida na wenzake watatu wanashikiliwa na polisi baada kumuua mwanafunzi wa kidato cha tatu
 
Akiongea baada ya kuulizwa na waandishi wa habari mbunge wa ubungo John mnyika amekiri kuwasili kwa vijana hao akidai kuwa wamekuja ili kulinda kura wakiwa katika coaster 10, tunaomba jeshi la polisi liwe macho na vijana hapo sisi tunatambua lengo lao ni kwenda kuvuruga uchaguzi.

Nape at work. Upuuzi mtupu!

Nachukua fursa hii kuwalaumu sana mods. Thread kama hii si tu zinaharibu na kuchafua maana halisi ya "home of great thinkers" lakini zinatuonesha kwamba hawafanyi kazi ya kuzipitia ndio ziwekwe jukwaan kama wanavyosema. Thread haina source na imekaa kimajungu kabisa lakini wameiposti.

Upuuzi kabisa huu!?
 
Mkuu ebu weka wazi, wewe na nani?
 
Kila siku nasema humu JF CDM wanasomba wahuni wanawapeleka Igunga watu mnabisha leo mmeona wenyewe!
Cha kujiuliza hivi ni nani anaewalipa posho pamoja na kugharamia Chakula na Malazi kwa hawa vijana zaidi ya 2000 lazima kutakuwa kuna kikundi kinaifadhili CDM ili kuleta fujo na machafuko nchini.
Angalizo kwa Jeshi la Polisi kuweni makini kama mtazidiwa nguvu lipo Jeshi la Wananchi JWTZ
 
ni mtu gani usiyepumzika wewe?
 
Wapi wewe,na this time CCM lazima mjipakate
 
Kila siku nasema humu JF CDM wanasomba wahuni wanawapeleka Igunga watu mnabisha leo mmeona wenyewe!
Cha kujiuliza hivi ni nani anaewalipa posho pamoja na kugharamia Chakula na Malazi kwa hawa vijana zaidi ya 2000 lazima kutakuwa kuna kikundi kinaifadhili CDM ili kuleta fujo na machafuko nchini.
Angalizo kwa Jeshi la Polisi kuweni makini kama mtazidiwa nguvu lipo Jeshi la Wananchi JWTZ
craaaaaaaap bin puuumba
 
Nape at work. Upuuzi mtupu!

Nachukua fursa hii kuwalaumu sana mods. Thread kama hii si tu zinaharibu na kuchafua maana halisi ya "home of great thinkers" lakini zinatuonesha kwamba hawafanyi kazi ya kuzipitia ndio ziwekwe jukwaan kama wanavyosema. Thread haina source na imekaa kimajungu kabisa lakini wameiposti.

Upuuzi kabisa huu!?

Huu ni ushenzi unaoendeshwa na mtu ALIYEZUIWA KABISA NA CHAMA CHAKE KUKANYAGA IGUNGA! Tumeshaambiwa na John Mnyika kwamba Tume ya Uchaguzi imeruhusu CHADEMA kutumia mawakala kutoka nje ya Igunga kwa minajili ya kulinda kura. Huyu PIMBI aliyepigwa marufuku kwenye kampeni pamoja na Uvuvuzela wake eti anakuja na ubongo wake mwembamba kutaka tuelewe upuuzi wake. Mpuuzeni, apuuzike
 
Kila siku nasema humu JF CDM wanasomba wahuni wanawapeleka Igunga watu mnabisha leo mmeona wenyewe!
Cha kujiuliza hivi ni nani anaewalipa posho pamoja na kugharamia Chakula na Malazi kwa hawa vijana zaidi ya 2000 lazima kutakuwa kuna kikundi kinaifadhili CDM ili kuleta fujo na machafuko nchini.
Angalizo kwa Jeshi la Polisi kuweni makini kama mtazidiwa nguvu lipo Jeshi la Wananchi JWTZ

Nchi ikishakombolewa, watu kama wewe mtakosa hata mbuni ya kuperuzia internet. Lazima uweweseke kama hivi.
 
Hovyo! mnadhani JWTZ nalo ni kitengo cha CCM kama ilivyo Polisi? Ninavyojua wapo wachache wenye kujipendekeza kutafuta vyeo lakini nina uhakika wa kuwemo wengi tu wenye uchungu wa dhati kwa nchi yao hii. Mungu libariki JWTZ, likinge na wahuni wanaotaka kuligeuza chombo cha ukandamizaji.

Nchi ikishakombolewa, watu kama wewe mtakosa hata mbuni ya kuperuzia internet. Lazima uweweseke kama hivi.

Mkuu CDM hawawezi kuchukuwa nchi kwa muundo wake sio chama cha kitaifa ni chama cha kikanda na cha udini pamoja na ukabila
 
Back
Top Bottom