CHADEMA waibua ufisadi kwenye tozo za mafuta ya petrol, diesel & kerosene. Bei badala ya kushuka ndiyo imepanda

Opportunity Cost

JF-Expert Member
Dec 10, 2020
8,955
2,000
View attachment 1967517

1. Hii serikali ni ya ajabu sana. Inasema uongo mchana kweupe.

2. Yaani kiongozi anatoka anasema tumepunguza tozo hii na ile ili kupunguza bei za nishati ya mafuta ya petrol, diesel na ya taa (kerosene).

3. Lakini cha ajabu, badala ya bei kupungua ndiyo zimeongezeka kwa wastani wa shilingi kati ya 12 hadi 50.

## Maswali ya kujiuliza ni:

å Hivi hii maana yake ni nini hasa?

å Je, kuna shida huko serikalini?

å Kwanini mambo yaende kinyume nyume? Yaani serikali inatamka hivi lakini practically inakuwa ni absolutely opposite kabisa.

å Je, serikali ya CCM imeamua kutufanya wana wa nchi hii wajinga na wapumbavu kiasi hiki?
Tatizo la machadema huwa mavichwa yao yamejaa makamasi na mavi..

Serikali ilisema ime adjust viwango vya tozo mbalimbali hivyo kupeleka unafuu wa ongezeni la bei kwa wastani ambao mtoa mada umesema.

Walisema kama wasingefanya adjustment bei ingeongeseka kwa wastani wa sh.145 au zaidi kwa Lita sasa imeongeza kwa sh.12 kwa Lita ..

Sijui wewe mjinga ufisadi ulioibuliwa ni upi..Na ulivyo mpumbavu unatakiwa kujua kwamba hakuna tozo inaweza futwa hapo mpaka warudishe Bungeni ndio maana Rais alisema kama kuna sheria zinazitakiwa kufutwa wapeleke mswaada mwezi wa tisa Ili baadhi ya tozo zifutwe kabisa na bei ya mafuta ishuke.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom