Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,243
- 34,899
Hakuna hiyo ! dawa ya moto ni moto
Siku za Karia TFF zinahesabikaAfadhali wangetafsiri na Google. Wazee kama akina Baregu hawawezi kupitia hicho Kiingereza kwanza?
mkuuAfadhali wangetafsiri na Google. Wazee kama akina Baregu hawawezi kupitia hicho Kiingereza kwanza?
Ahaa nyani haoni kunduleAfadhali wangetafsiri na Google. Wazee kama akina Baregu hawawezi kupitia hicho Kiingereza kwanza?
Ni ushauri tu. Usianze kupapatika.
Nilikuambia nilishindwa?mkuu
hv ulishindwaje kuelewa yele mahojiano ya lissu pale hardtalk?????????
Unazihesabu?Siku za Karia TFF zinahesabika
Yaani ukishasema pathetic ndio unajionaa, ha ha ha.
zinahesabika tuUnazihesabu?
Endelea kuzihesabu.zinahesabika tu