Chadema waiandikia barua FIFA kupinga na kulalamikia maneno yanayochochea uvunjifu wa haki za binadamu, uhuru wa kujieleza uliofanywa na Karia

Hivi Uhuru wa kuongea Una application kwa wapinzani wa Tanzania?
Naona wako ki nadharia Sana.
Naanza kuelewa Ile wanasaikolojia wanasema kuwa mtu anaepinga Sana juu ya tabia na mwenendo wa mwenzie kwa kutumia nguvu hata pasipo hitajika au kwenye minor issue hiyo ni reflection ya tabia yake halisi ya ndani.....
Maoni mbadala hayatakiwi kabisa kwa wanasiasa wetu na wafuasi wao halafu hawaachi kunyosheana vidole kwa expense ya wananchi wapiga debe wasiojielewa.....
Rehema inahitajika hakika.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli nimeamini kua vijana wengi wa ccm uelewa wao wa mambo ni mdogo either kwa kujua or kutokujua wanachokifanya.
Karia alikua hatoi maoni Bali alikua anawapa onyo wale wote watakaonda kinyume na yeye, kwa kusema mapungufu yake. Uku akisema atawashughulikia. Ndo mana akaita utundu Lisu .na wote tunajua kua Lisu amekua ni mkosoaji wa serikali. Sasa jiulize ni Uhuru gani wa kujieleza ambao karia ameufnya kama kiongozi.?
Ndo mana kama umeisoma vzr barua ya Chadema wameonesha jinsi karia anavyominya kua alichokiongea Karia ni uminyaji wa Uhuru wa kujieleza. Na wakaendelea kusema kua pia ameingiza siasa kwenye mpira ambao ni sehemu ya kuunganisha watu

Kwanza nitake radhi, Mimi sio kijana wa CCM wala wa chama chochote cha siasa.
Kisha jitambue fikiria kwa upeo uliojaaliwa na sio kufuata mkumbo wa wanasiasa wachumia matumbo, tumia vema elimu yako ikiwa ulibahatika hata kuipata hiyo elimu yenyewe...
Wanahubiri wasichokiamini, wanatenda kwa manufaa Yao kwa gharama za wananchi huku wakishabikiwa na wafuasi wasiojielewa na kuwa rahisi kuwachezesha ngoma kadri wapendavyo.
Mkishamaliza kuzozana na mivyama yenu ya hovyo hovyo mtuachie nchi yetu Sisi tusiofungamana na mivyama yenu tuikomboe kwenye udalali mliomkabidhi malaya wenu mzungu...mnaemuita mkombozi wenu wa kiuchumi na kidemokrasia mnayoihubiri kuitenda hamtaki.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Machandrama mcharuko mizee ya matukio yamepata tukio Hahahaha
Fanatic fools walahi
HEBU MSITULETEE UTUNDULISSU HAPA!
Hahahaha
Beautiful walahi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Keh keh keh, Chadema sasa wamekuwa wanachama wa FIFA? Mbona tunashindwa kuelewa hii Chadema malengo yake ni yapi? Tuonane 2019/2020
 
Back
Top Bottom