Chadema waiandikia barua FIFA kupinga na kulalamikia maneno yanayochochea uvunjifu wa haki za binadamu, uhuru wa kujieleza uliofanywa na Karia

Ilikuokoa soka la Tanzania hatua za dharula za kumng'oa Wallace Karia zichukuliwe
 
What a waste, sio shabiki wa karia but kwa hili ni kama mtoto x katukaniwa babake na mtoto y alaf mashtaka kapelekewa baba y, expectations zake sijui ni nini,bila kujua baba y nae anamtegemea y wke kwa malengo flani ya Future.
Akili ndogo tu ilihitajika kbla ya kuunda hii tissue paper kwanza, " know your enemy before attacking them" ,
Ushauri mwingine mdgo tu,minor issues waachiwe mataei ya vijana iwe chadema,cuf au ccm.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hilo povu linaonesha tu jinsi ulivyoshiwa na bado uniita ni minor issue huku povu linakutoka.

hahahahahaa unachekesha.
 
Badala ya Barua Lisu angekwenda FIFA Maana yupo huko Ulaya.
 
Ilikuokoa soka la Tanzania hatua za dharula za kumng'oa Wallace Karia zichukuliwe
Hivi Uhuru wa kuongea Una application kwa wapinzani wa Tanzania?
Naona wako ki nadharia Sana.
Naanza kuelewa Ile wanasaikolojia wanasema kuwa mtu anaepinga Sana juu ya tabia na mwenendo wa mwenzie kwa kutumia nguvu hata pasipo hitajika au kwenye minor issue hiyo ni reflection ya tabia yake halisi ya ndani.....
Maoni mbadala hayatakiwi kabisa kwa wanasiasa wetu na wafuasi wao halafu hawaachi kunyosheana vidole kwa expense ya wananchi wapiga debe wasiojielewa.....
Rehema inahitajika hakika.

Je huo ni uhuru wa kuongea alioufanya Karia? Je angesema kuna mapombe magufuli kwenye michezo, tuyaache na upombe magufuli wao. Je ingekuwa ni sawa!?

Sasa mnachokipigania ni nini ambacho pombe hakifanyi?
Pombe na mamlaka yake wakitumia sheria na taratibu kwenu mnasema mnaonewa ilihali ninyi pia hamna uvumilivu katika hayo myasemayo...bahati mbaya Sana wafuasi wenu kisiasa uwezo wao wa kuchanganua mambo mnaujua ndio maana mnawachezesha ngoma zenu...
Wanasiasa hovyo sana, wanahubiri kinyume na wanachoamini na kutenda...
Anyway wacha tuzidi kuwatizama na kuwavumilia ila ipo siku wasio na mirengo kisiasa wataliokoa hili taifa, nyie endeleeni na makelele na ziara zenu, sababisheni vikwazo kwetu kwa faida yenu....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ilikuokoa soka la Tanzania hatua za dharula za kumng'oa Wallace Karia zichukuliwe
Nikweli hawa watu ndio wanaochanganya propaganda na mpira adi timu zetu zinashindwa kufanya vizuri sijawai kusikia hata siku moja Taifa stars imechukua kombe
 
Kwa kitendo cha Karia kuingiza siasa kwenye mambo ya soka lazima achukuliwe hatua.
Sheria za fifa zipo wazi.
 
hahahaha Chadema kila siku huwa nawaambia mambo ya uhuru wa maoni ni rahisi kuyaongea lakini si kutenda
Daaaaaah sasa wewe umeandika nini ? Hivi umesoma content ya barua kweli au umekuja tu kucomment.?
Anayetetea Uhuru wa kuongea hapo ni nani kati ya chadema na Karia?
Soma tena kabla ujatoa maoni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom