Mtoto wa Shule
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 11,650
- 8,581
Hii ni bonge la pointi. Nami naunga mkono na namshauri Msajili wa Vyama asitoe cheki ya ruzuku mpaka wameyakubali matokeo na wamepeleka Wabunge wa Viti Maalum Bungeni.Wewe unayetoa ruzuku unajua kuwa ili wapate ruzuku inatakiwa wakubali pia matokeo. Sasa watu hawajakubali matokeo utawapaje ruzuku?