Elections 2010 CHADEMA wafunika kanda ya magharibi: Kampeni za Zitto katika picha usipime

211.jpg
 
Akina dada/mama wazuri na wanaopenda Tanzania kama dada yetu huyu (Ms Ruhwanya) walikuwepo:

Hii ni kati ya picha bora kabisa katika kampeni za chadema mwaka huu. Vazi limetulia, picha imetulia, dada ametulia kwenye kipata sauti siyo zile picha zenye vurugu za chama kingine. Mwafrika waambie Chadema hii picha itoke ukurasa wa mbele katika kalenda ya chama mwaka 2011. Hii picha bomba jamani, penye ukweli watu waseme.
 
Noted mkuu.... hata mimi hiyo picha ilinivutia immediately nilivyoiona.
 
Hii ni kati ya picha bora kabisa katika kampeni za chadema mwaka huu. Vazi limetulia, picha imetulia, dada ametulia kwenye kipata sauti siyo zile picha zenye vurugu za chama kingine. Mwafrika waambie Chadema hii picha itoke ukurasa wa mbele katika kalenda ya chama mwaka 2011. Hii picha bomba jamani, penye ukweli watu waseme.

Hilo vazi liko bomba si mchezo. Hata mimi nimelipenda.
 
Hii ni kati ya picha bora kabisa katika kampeni za chadema mwaka huu. Vazi limetulia, picha imetulia, dada ametulia kwenye kipata sauti siyo zile picha zenye vurugu za chama kingine. Mwafrika waambie Chadema hii picha itoke ukurasa wa mbele katika kalenda ya chama mwaka 2011. Hii picha bomba jamani, penye ukweli watu waseme.

Mkuu usemacho kina ukweli! Huyu dada anaitwa nani na anagombea nafasi ipi! I am so impressed naye kwenye masuala ya kiasasa! Tafadhali nijuze.
 
1. huyo dada humjui
2. hujui anagombea wapi na
3. nafasi anayogombea huijui

kama yote hayo huyajui............imekuwaje uwe impressed na huyo dada kisiasa..............je ni mavazi tu ndiyo yaliyoku-impress?...........bwa hahaha
 
Mkuu tafadhali bwana niko serious niPM hayo majibu ya maswali hayo! inshallah
 
Pamoja na kuona yote haya, ukiwaambia REDET wafanye utafiti ni Chama gani kina mvuto kwa watanzania kwa sasa, watasema Utafiti unaonyesha CCM ni 88% Chadema 6% CUF 4% wengine 2%.
Bila mizengwe 2010 Tanzania mpya itazaliwa. Eeh MOLA sikia kilio chetu.
 
Gazeti la Raiamwema Toleo la 13-19 Oktoba, 2010
DK.Slaa amnyima Usingizi Kikwete
Upepo wabadilika Rukwa, Katavi, Arusha na Mwanza

Kutoka katika Mikoa ya Rukwa na Katavi, Mwandishi Wetu Felix Mwakyembe aliyekuwa anafuatilia kampeni za CHADEMA anaripoti kwamba kulingana na hali halisi ya kisiasa ilivyo haitakuwa ajabu iwapo chama hicho kitaibuka na majimbo mengi zaidi ya CCM.

Dk. Slaa aliingia mkoani Rukwa Oktoba 5, jioni na kufanya mkutano mmoja wa kampeni kwenye viwanja vya Shule ya Msingi Chanji iliyo nje ya mji wa Sumbawanga ambapo umati uliojitokeza siku hiyo unaelezwa na wenyeji kuwa ni mara tatu ya ule uliojitokeza kwenye kampeni za mgombea urais wa CCM, Jakaya Kikwete.

Pamoja na uwanja wa mkutano wa mgombea huyo kuhamishiwa nje ya mji dakika za mwisho, bado wananchi kutoka kona zote za mji huo pamoja na vijiji vya jirani walifika kwa wingi kumsikiliza mgombea huyo.
Hali ilikuwa hivyo hivyo katika mikutano yake mbalimbali aliyoifanya katika majimbo ya Kwela, Kalambo, Nkasi Kaskazini na Nkasi Kusini kwa mkoa wa Rukwa, Mpanda Mjini, na Mpanda Vijijini.

Kuna mambo kadhaa yaliyowageuza wananchi wa mikoa hiyo kifikra na kimtazamo, na dalili zake hazikuanza kujitokeza mwaka huu; bali takribani miaka minne iliyopita ambapo mbunge anayemaliza muda wake wa jimbo la Mpanda Mjini, Arfi Said wa CHADEMA alipoziona aliwatahadharisha CCM katika mahojiano yake na gazeti moja la kila wiki.
"Kati ya mwaka 2006 na 2007 nilifanya mahojiano na gazeti moja la kila wiki. Nilimwambia mwandishi yule kwamba Rukwa si salama kwa CCM, kauli hii
ilipuuzwa, na sasa haya ndiyo matokeo yake," anasema Arfi ambaye pia ni Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA.

Zinatajwa sababu nyingi kuchangia katika kubadilisha fikra na mitazamo ya wananchi wa mikoa hiyo, lakini za msingi zikiwa wananchi kukata tamaa na ahadi ambazo wamekuwa wakipatiwa tangu Uhuru ikiwemo ile ya ujenzi wa barabara ya Tunduma hadi Sumbawanga na Mpanda.
Sababu nyingine inatajwa kuwa ni hatua ya kuwazuia wananchi hao kuuza ziada ya mazao yao nje ya nchi wakati soko lipo wazi katika Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo na Zambia; huku viongozi wake wakifahamu fika kuwa uchumi wa wananchi katika mikoa hiyo unategemea zaidi kilimo ambacho kimeajiri sehemu takribani wakazi wote wa mikoa hiyo wakiwemo wafanyakazi na wafanyabiashara.

Ni kutokana na umuhimu wa kilimo kwa wakazi wa mikoa hiyo ambapo ufisadi uliofanyika kwenye vocha za pembejeo zenye thamani ya takribani shilingi bilioni sita, ulizidisha hasira zao kwa CCM na serikali yake, na katika hili hakuna mtetezi wa CCM kwenye mikoa hiyo, si wananchi wa kawaida wala wanachama na vigogo wa chama hicho.
"Wananchi waliahidiwa mambo mengi, waliahidiwa maisha bora kwa kila Mtanzania, lakini hawayaoni. Maisha yamepanda sana, vitu vimepanda bei, hawayaoni yale maisha waloahidiwa," anasema mgombea ubunge katika jimbo la Sumbawanga Mjini, Mwalimu Norbert Yamsebo.

Wagombea wote wa CCM katika majimbo ya mikoa hiyo ni wapya baada ya wale wa zamani wote kuanguka kwenye kura za maoni ukiacha wawili, Paul Kimiti na Chrisant Mzindakaya, ambao waliamua kustaafu siasa za uwakilishi kwa hiari yao.
Kura hizo za maoni zinaelezwa pia kuchangia katika kubadili fikra za wananchi wa mikoa hiyo, na mmoja wa makada wa chama hicho na mfanyabiashara mjini Sumbawanga anasema:
"CCM walishindwa kudhibiti rushwa wakati wa kura za maoni. Waliopitishwa hawana uwezo, walitumia zaidi nguvu yao ya pesa.
Unapozungumza na wenyeji wa jimbo hilo unabaini jambo moja la msingi, kwao tabia ya mgombea ni sifa ya msingi ili achaguliwe, na hapa ndipo kilipo kikwazo kwa wagombea wa CCM.

"Wana mambo ambayo katika jamii hayastahili, ushahidi upo na mambo yao yako wazi," anasema mama mmoja katika Kijiji cha Katumba, jimbo la Sumbawanga Mjini.
Kiogozi mwingine mkoani Rukwa anabainisha kasoro kwenye kura za maoni akisema: "Watu wamebadilika sana kifikra kutokana na kura za maoni. Matokeo ya kura za maoni za CCM yalimuacha kila mtu kinywa wazi. Sifa za wagombea wa CCM ni mbaya. Katika suala la maadili hawamo."
Source na Full story: Dk. Slaa amnyima Kikwete usingizi
 
Bagamoyo, unaweza kuanzisha thread inayojitegemea ya hii story?

This is huge (namkoti mmoja kati ya watoa mipasho wa fox news)
 
Hii ni kati ya picha bora kabisa katika kampeni za chadema mwaka huu. Vazi limetulia, picha imetulia, dada ametulia kwenye kipata sauti siyo zile picha zenye vurugu za chama kingine. Mwafrika waambie Chadema hii picha itoke ukurasa wa mbele katika kalenda ya chama mwaka 2011. Hii picha bomba jamani, penye ukweli watu waseme.

Ndio ni picha bora sana
 
kigoma ni nyumba ya Zitto:

Wabongo wamechoka mbaya....Hata sura zao zinaonyesha ni wazi kabisa wana mawazo mengi na maisha ni magumu....Ni wazi kabisa wako discontent na wako ready for change....This time ccm wana hard time na sidhani kama hao wananchi wataendelea kudanganyika.Inaonekana wazi kabisa ni kama watu walioko mateka na wanahitaji msaada wa ukombozi...Na hata ukiwaangalia kwenye macho yao wanaonyesha kuna mwanga wa matumaini...Umasikini bado ni issue kubwa sana Tanzania na ni wakati wa kuukataa umasikini kwa maazimio na kauli moja,kama wananchi wame amka basi this is the defining moment....cThey just need good gorvenance and guidance..ccm walijisahau sana,tuliwambia hawakusikia.
 
Back
Top Bottom