CHADEMA wafanyeje ili kujiepusha na wimbi la viongozi wa dini kutaka kuwatenga na wafuasi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CHADEMA wafanyeje ili kujiepusha na wimbi la viongozi wa dini kutaka kuwatenga na wafuasi?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mlaizer, Mar 7, 2011.

 1. mlaizer

  mlaizer JF-Expert Member

  #1
  Mar 7, 2011
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 234
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Ndugu wana JF,
  Kutokana na maandano CHADEMA ya wiki iliyopita ktk mikoa ya kanda ya ziwa kuonekana kivutio kwa wananchi wengi,serikali/ccm na baadhi ya wananchi wameamua kuutafsiri baadhi ya hoja za CDM kuwa ni za kiuchochezi.Hali ambayo hata Msajili wa vyama siasa ameamua kuchukua uamuzi wa kuindikia CDM barua ya Onyo.Hiyo imeonekana haitoshi kupita gazeti la UHURU la leo 7/3/2011 kuna habari imeandikwa kuwa WAISLAMU WAONYWA KUHUSU CHADEMA,ktk habari hiyo mwandishi anaieleza umma kuwa Viongozi wa Kiislamu waitahadharisha waumini wao juu ya ushiriki wao ktk maandamano CDM kwa kile kilichotafsiriwa wanaeneza maneno ya uchochezi kutaka kuing'oa serikali madarakani...................Mimi sitaki kuamini kuwa hii habari ni kweli imetoka kwenye vinywa vya VIONGOZI stahiki wa kiislamu bali pengine kuna agenda ya vikundi fulani ndani ya CCM walioamua kuvaa vazi hili kuitega CDM ili pengine iamue kuongelea hadharani,ikitegemea kuzua mjadala usio wa lazima.
  LENGO langu ni kuomba wanajamvi mtoe maoni yenu juu hili ya kwamba nini viongozi na wafuasi wa CDM wafanye kuwajua nani anatumiwa na nini kifanyike kuepuka wanaodanganya wafuasi wasijitokeze kwenye maandamano?
   
 2. F

  Froida JF-Expert Member

  #2
  Mar 7, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 7,900
  Likes Received: 1,328
  Trophy Points: 280
  Mpelelezi,unataka watu wakwambie ili ukatengeneze mbinu zingine usipoteze muda wako bure hakuna atakayetenga Nguvu ya umma na Chadema lugha yao ni moja tu ,Tanzania moja kwa watu wote Nchi kwanza Dini,Kabila baadaye
   
 3. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #3
  Mar 7, 2011
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Waisilamu wengi wanaiunga mkono CDM sasa hivi. Nina hakika na hili 100%. Hii ni kwa sababau inasimamia jambo ljrma -- ililo la haki na la wazi kabisa. CDM wasiogope kauli kama hizi ambazo nina hakika zinasukumwa na CCM kupitia mashekhe pilau.
   
 4. Mkubwa ndevu

  Mkubwa ndevu JF-Expert Member

  #4
  Mar 7, 2011
  Joined: Feb 17, 2011
  Messages: 755
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 45
  Me ni muislam bt coni udini wa CDM au mumesahau kw CCM waliweza kubomoa CUF kwa kuwapachika MASHEKH uchwara ushauri wangu kwa CDM kwa viongozi wa CDM hasa kwa kw wengi ni wakristo wafahamu kuwa CCM watataka kupenyeza wachungaji wao so please CDM wakwepeni mamaluki km shibuda
   
Loading...