Chadema wafanye malinganisho kati ya kura vituo na taarifa za tume kuna wizi mkubwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chadema wafanye malinganisho kati ya kura vituo na taarifa za tume kuna wizi mkubwa

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Lu-ma-ga, Nov 2, 2010.

 1. Lu-ma-ga

  Lu-ma-ga JF-Expert Member

  #1
  Nov 2, 2010
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 2,843
  Likes Received: 472
  Trophy Points: 180
  Kura zinapohesabiwa vituoni na mawakala kuweka saini za kukiri kuwa matokeo ni sawa ni ushahidi unaojitoshereza kwa CHADEMA kutumia katika kufanya malinganisho ya kura zilizo kwenye karatasi ya matokeo YA TUME kwa kila kituo.

  Malinganisho haya yatatusaidia kujua kama kuna wizi wa kura au la.Kuna taarifa za kusikitisha kuwa wizi wa kura za rais unafanyika kwa kiwango kikubwa sana na huenda JK AKAPITA KWA 80%+.

  Matokeo haya kwa bahati nzuri yanapita katika mfumo wa komputa ambao tayari kuna wajanja wanaingilia mawasiliano hayo na kuharibu taarifa matokeo yake kura za DR.SLAA Zinazidi kupungua. Msitake ushahidi ili tusijicheleweshe kujadili ni kwamba wasimamizi wameanza kutoa siri hizo kuwa kuna mchezo mchafu.

  NINI KIFANYIKE
  Wataalamu wa computer wana usemi wao wa kitaalam unasema GABBAGE IN GABBAGE OUT.Kwa maana kwamba ukiweka wrong data utapata wrong result(output).
  Tunatakiwa kutunza sana PRIMARY DOCUMENTS(Matokeo ya kura vituoni) ili itusaidie kufanya RECONCILIATION LAZIMA TUWANASE TU.
  KUNA JAMAA YANGU NI MSIMAMIZI AMESEMA KWA UCHUNGU SANA ANASHAURI TUTUNZE PRIMARY RESULTS NA TUTENGENEZE TAARIFA YA MALINGANISHO NA DATA ZA TUME .
   
 2. NATA

  NATA JF-Expert Member

  #2
  Nov 2, 2010
  Joined: May 10, 2007
  Messages: 4,516
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
   
 3. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #3
  Nov 2, 2010
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Wafanye wizi lakini wakae wakijua kuwa hilo jinamizi litawaandama tu, wao na pesa sisi na mungu
   
 4. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #4
  Nov 2, 2010
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
   
 5. C

  Challenger M Member

  #5
  Nov 2, 2010
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 81
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Kwenye swala la computer programming hata wasimamizi wakiwepo haisaidii hapo tumepigwa bao la itokee kati wa hao it specialist atokee mtu mpenda haki. Ila ni vizuri kutunza hard copy kutoka kwa wasimamizi kisha zijumlishwe manually for comparison ili kuhakiki. Kama kuna tofauti kubwa basi tujipange kuikataa hiyo technolojia next time.isije ikawa kama usa wakati bush alipompiga algoa
   
Loading...