Allency
JF-Expert Member
- Jan 27, 2011
- 13,686
- 13,072
@Me toomimi ni mpiga kura wa CHADEMA na ninahamasisha Serikali hii katili ya CCM ipigwe vikwazo vya kufa kima.

Siyo Chadema tu. Wananchi tulio wengi sasa tunataka intervention ya jumuiya ya kimataifa katika mazingira haya ambayo polisi ndiyo wanahakikisha chama kimoja ndicho kinashinda kwa heri au kwa shari.Nimeona viongozi mbalimbali wa CHADEMA wakitaka Tanzania iwekewe vikwazo baada ya kushindwa katika uchaguzi mkuu uliopita.
Mimi ninauhakika Tanzania haijafikia hatua ya kuwekewa vikwazo vya kiuchumi kwani hao wafadhili wanajua moja kwa moja mwananchi wa kawaida ndio atakayeumia na vikwazo hivyo.
Ni aibu kwa mtanzania kukimbilia Belgium na kuomba waliompigia kura kuwekewa vikwazo vya kiuchumi wakati yeye na familia wakila Bata huko. Tanzania kwanza tuache masuala ya vyama.
Kwani tunahitaji misaada ya mabeberu?Nimeona viongozi mbalimbali wa CHADEMA wakitaka Tanzania iwekewe vikwazo baada ya kushindwa katika uchaguzi mkuu uliopita.
Mimi ninauhakika Tanzania haijafikia hatua ya kuwekewa vikwazo vya kiuchumi kwani hao wafadhili wanajua moja kwa moja mwananchi wa kawaida ndio atakayeumia na vikwazo hivyo.
Ni aibu kwa mtanzania kukimbilia Belgium na kuomba waliompigia kura kuwekewa vikwazo vya kiuchumi wakati yeye na familia wakila Bata huko. Tanzania kwanza tuache masuala ya vyama.
Anayeleta matatizo kwa Nchi ni CCM kwa kuubaka kuunajisi kuulawiti uchaguzi mkuu kwa njia haramu za kishetani, chanzo cha tabu yote ni CCM siyo vinginevyoNimeona viongozi mbalimbali wa CHADEMA wakitaka Tanzania iwekewe vikwazo baada ya kushindwa katika uchaguzi mkuu uliopita.
Mimi ninauhakika Tanzania haijafikia hatua ya kuwekewa vikwazo vya kiuchumi kwani hao wafadhili wanajua moja kwa moja mwananchi wa kawaida ndio atakayeumia na vikwazo hivyo.
Ni aibu kwa mtanzania kukimbilia Belgium na kuomba waliompigia kura kuwekewa vikwazo vya kiuchumi wakati yeye na familia wakila Bata huko. Tanzania kwanza tuache masuala ya vyama.
Vikwazo vinaletwa na CCM kwa kuendekeza vitendo haramu vya kishamba na kishetaniMsaliti ni yule tu aliyeiba kura maana huyo ndiyo chanzo. KAMA angekubali tu kuwa watu hawamkubali na hawamuhitaji tusingekuwa tunafikiria vikwazo sasa hivi.
Watesi CCM wanajua kuwatesa kuwaonea kuwabambikia kesi kuwapiga risasi wapinzani tu lakini wakisikia vikwazo wanaanza kuchachawaSisi wafuasi wa chadema wenyewe tunataka nchi ipigwe vikwazo vya hatari ili misukule ya ccm ifunguke akili
Inasikitisha sanaNA ULE ULIOFANYWA NA CCM NI NINI ?
TISS,,, POLISI NA JESHI NDIO YALIYOTUUMIZA WANANCHI.
CHAMA DOLA KINATUMIA VIBAYA DOLA.
CCM warejeshe pesa za corona walizogawana kienyejiKwani tunahitaji misaada ya mabeberu?
Waanze na ARV .mimi ni mpiga kura wa CHADEMA na ninahamasisha Serikali hii katili ya CCM ipigwe vikwazo vya kufa kima.
Viongozi wa Chadema hawana akili na ndiyo maana kila uchaguzi wanazinguana wenyewe kwa wenyewe na kuchanganya akili wafuasi wakoNimeona viongozi mbalimbali wa CHADEMA wakitaka Tanzania iwekewe vikwazo baada ya kushindwa katika uchaguzi mkuu uliopita.
Mimi ninauhakika Tanzania haijafikia hatua ya kuwekewa vikwazo vya kiuchumi kwani hao wafadhili wanajua moja kwa moja mwananchi wa kawaida ndio atakayeumia na vikwazo hivyo.
Ni aibu kwa mtanzania kukimbilia Belgium na kuomba waliompigia kura kuwekewa vikwazo vya kiuchumi wakati yeye na familia wakila Bata huko. Tanzania kwanza tuache masuala ya vyama.
hapo ndiyo penyewe sasa.Waanze na ARV .
Hata wasiposwma tutaenda juu kwa nguvu na juhudi zetu tu,Mlivyoambiwa mmeingia uchumi wa kati mlifurahi...mtoto umeshakuwa kajitegemee unalialia nini...
Post zote 34 za waliotangulia kuchangia wamepingana na mleta mada!Wewe wa 35 ndiye umeungana na mleta mada!Viongozi wa Chadema hawana akili na ndiyo maana kila uchaguzi wanazinguana wenyewe kwa wenyewe na kuchanganya akili wafuasi wako
Uzi huu unatoa tafsiri fulani!Post zote 34 za kwanza zimempinga mleta mada!Hata wasiposwma tutaenda juu kwa nguvu na juhudi zetu tu,
Waseme wasiseme sawa kwani watatushusha?
Kaka sijui ulitaka sasa waende kwa Siro? au Tume ya Uchaguzi ya Mahera? toa suruhisho acha kulalamikatu . Kumbuka kuwa Chadema hawawapangii Wahisani adhabu ya kutoa kwa wachafuzi wa uchaguzi, kumbuka Demokrasia haikuletwa na Chadema bali imeletwa na hao hao wahisani ambao wengine wapo Belgium pia. Kwa hiyo kama tulikubali demokrasia na masharti yake lazima tuyaishi.Hakuna namna nyingine.Nimeona viongozi mbalimbali wa CHADEMA wakitaka Tanzania iwekewe vikwazo baada ya kushindwa katika uchaguzi mkuu uliopita.