CHADEMA waendelea kufungua matawi mbongwe Shinyanga

Hongereni sana sisi tupo huku arusha tunamalizia kukamata nafsi mojamoja zilizokuwa hazijajua UKWELI pamoja tutashinda!!
 
Hongereni Cdm tatizo huyu Shilungushela anavuruga Cdm huku kwetu BARIADI,Kwa kuleta mgawanyiko kwa viongozi,kwa mfano yeye kawachagulia WANABARIADI mwenyekiti wilaya bila viongozi wa wilaya kushirikishwa,pia akaunga mkono uanzishwaji wa ofisi haramu ya wilaya wakati tayari kulikuwa na ofisi ya wilaya!watu walikuwa na hamu ya kujiunga na CDM kama mkombozi halali wa wanyonge,lakini wameanza kuogopa baada ya kuona uongozi ngazi ya wilaya haueleweki yani fulu migogoro wana kesi mahakamani ya kugombea vyeo!kwa kuwa katibu mkuu Dr. Slaa ni memba humu Jf,tunamwomba alishughulikie hili suala haraka maana huku kuna wanachama wengi sana waliokwisha stukia UDP kuwa ni mshirika wa magamba lakini wanaogopa kuingia Cdm kutokana na mgogoro huu!hebu fikiria kama Chama kinafikia kuwa na ofisi mbili za wilaya,kila ofisi inajitapa kuwa yenyewe ndiyo inatambulika na kibaya zaidi ni kwamba kila ofisi inamwenyekiti na katibu wa wilaya!je kama kuna ugeni wa kitaifa utafikia ofisi ipi ya wilaya?Kwa upande wangu ningependelea hawa viongozi mahasimu ni kupiga chini na kuchagua uongozi mpya.Bila shaka Dr. Ulipokuja wakati wa kampeni kama ulipita kwenye ofisi ya wilaya uliona mwenyewe ofisi ilivyochoka!sasa hawa viongozi ngazi ya wilaya badala ya kuboresha hata ofisi ya chama wanabaki kupelekana mahakamani tu!tena na mawakili juu!TUNAOMBA MSAADA WA VIONGOZI WA KITAIFA SIYO KINA SHILUNGUSHELA WENYE UPANDE WA KUTETEA KWA MASLAHI BINAFSI!BADO TUNAAMINI BARIADI 2015 ITAKWENDA KWA CHADEMA,KWA SABABU NDIYO CHAMA KITAKACHOCHUKUA DOLA KAMA MIGOGORO YA KIPUUZI KAMA HII HAITAPEWA NAFASI.CDM FOREVER...
 
Hongereni Cdm tatizo huyu Shilungushela anavuruga Cdm huku kwetu BARIADI,Kwa kuleta mgawanyiko kwa viongozi,kwa mfano yeye kawachagulia WANABARIADI mwenyekiti wilaya bila viongozi wa

wilaya kushirikishwa,pia akaunga mkono uanzishwaji wa ofisi haramu ya wilaya wakati tayari kulikuwa na ofisi ya wilaya!watu walikuwa na hamu ya kujiunga na CDM kama mkombozi halali wa wanyonge,lakini wameanza kuogopa baada ya kuona uongozi ngazi ya wilaya haueleweki yani fulu migogoro wana kesi mahakamani ya kugombea vyeo!kwa kuwa katibu mkuu Dr. Slaa ni memba humu Jf,tunamwomba alishughulikie hili suala haraka maana huku kuna wanachama wengi sana waliokwisha stukia UDP kuwa ni mshirika wa magamba lakini wanaogopa kuingia Cdm kutokana na mgogoro huu!hebu fikiria kama Chama kinafikia kuwa na ofisi mbili za wilaya,kila ofisi inajitapa kuwa yenyewe ndiyo inatambulika na kibaya zaidi ni kwamba kila ofisi inamwenyekiti na katibu wa wilaya!je kama kuna ugeni wa kitaifa utafikia ofisi ipi ya wilaya?Kwa upande wangu ningependelea hawa viongozi mahasimu ni kupiga chini na kuchagua uongozi mpya.Bila shaka Dr. Ulipokuja wakati wa kampeni kama ulipita kwenye ofisi ya wilaya uliona mwenyewe ofisi ilivyochoka!sasa hawa viongozi ngazi ya wilaya badala ya kuboresha hata ofisi ya chama wanabaki kupelekana mahakamani tu!tena na mawakili juu!TUNAOMBA MSAADA WA VIONGOZI WA KITAIFA SIYO KINA SHILUNGUSHELA WENYE UPANDE WA KUTETEA KWA MASLAHI BINAFSI!BADO TUNAAMINI BARIADI 2015 ITAKWENDA KWA CHADEMA,KWA SABABU NDIYO CHAMA KITAKACHOCHUKUA DOLA KAMA MIGOGORO YA KIPUUZI KAMA HII HAITAPEWA NAFASI.CDM FOREVER...

Kweli wewe ni nkomoji,naamini ujumbe umefika kwa wahusika na utafanyiwa kazi na kwa wasioelewa maana ya neno nkomoji ni mukombozi
 
Kweli wewe ni nkomoji,naamini ujumbe umefika kwa wahusika na utafanyiwa kazi na kwa wasioelewa maana ya neno nkomoji ni mukombozi

Ng'wana Sweke mhala sana?hongera kwa tafsiri ya jina langu,nakuombeni wazalendo wa kweli tupaze sauti zetu popote ili tuupate ukombozi wa kweli.
 
Hii migawanyiko inapoachwa muda mrefu bila kushughulikiwa huzaa migogoro isyoweza kusulushwa
 
CDM hayo ndio mambo yanayotakiwa after 4 yrs full matawi na mabamba mmmmmmmmmmmmmmmh
 
Back
Top Bottom