CHADEMA wadaiwa kupiga na kujeruhi viongozi wawili CCM

JF haina chama wanachamana wa JF ndio wana vyama na sio wote
mimi sina chama bali napenda ukweli bila unafiki.
kwa habar leo ni kichekesho kusema ni for truth and wisdom kuna jema gani au ukweli gani habari leo na magamba kwa Ujumla? hata nikinunua mandazi wakanifungia na hilo gazeti lenu huwa sipokei.
Hivi CCM ikianguka 2015 mtaandika nini tena?

Kumbe inawauma eeh!? Huu mtandao wenu jf-chadema tukiweka maoni mbadala faster wame delete, mbona hamsemi, habari leo for truth and wisdom
 
Magamba na Serkali yao yamechoka siasa sasa wanatumia mawe. Watarusha mangapi? nayo wataishiwa na njia ni nyeupe kusonga mbele. Imagine gazeti ambalo ni msemaji wa serkali linaripoti mabo ya uwongo kila siku: mara mjane wa Mwangosi alia na rambirambi ya Dr (wa kweli) Slaa. Wamesikia walivyopewa maneno yao na Sumaye kuwa iliyobaki kwenye Magamba ni kukimbiwa na wananchi. Mikutano ya kampeni inaendelea kwenye kata zote 29 ameneo mbalimbali ya nchi na wapiganaji wako imara. They are kwishne. lifetime ya MAGAMBA ime-expire.
 
JF haina chama wanachamana wa JF ndio wana vyama na sio wote
mimi sina chama bali napenda ukweli bila unafiki.
kwa habar leo ni kichekesho kusema ni for truth and wisdom kuna jema gani au ukweli gani habari leo na magamba kwa Ujumla? hata nikinunua mandazi wakanifungia na hilo gazeti lenu huwa sipokei.
Hivi CCM ikianguka 2015 mtaandika nini tena?

Si mpaka ianguke????????
Prepare your nose, cause your fall 2015 is inevitable! Ha!
 
Magamba na Serkali yao yamechoka siasa sasa wanatumia mawe. Watarusha mangapi? nayo wataishiwa na njia ni nyeupe kusonga mbele. Imagine gazeti ambalo ni msemaji wa serkali linaripoti mabo ya uwongo kila siku: mara mjane wa Mwangosi alia na rambirambi ya Dr (wa kweli) Slaa. Wamesikia walivyopewa maneno yao na Sumaye kuwa iliyobaki kwenye Magamba ni kukimbiwa na wananchi. Mikutano ya kampeni inaendelea kwenye kata zote 29 ameneo mbalimbali ya nchi na wapiganaji wako imara. They are kwishne. lifetime ya MAGAMBA ime-expire.

Mkuu kwa hizo kata 29 unadhani winning ratio between CDM:CCM itakuwaje?
 
Back
Top Bottom