CHADEMA wachangishana Milioni 29 Mwanza M4C - (taslimu na ahadi)

Mkuu bado haijawa habari ila ni taarifa,hata kama ni taarifa basi walau tungepata 5Ws and H (nani-CHADEMA,wamefanya nini,wapi,kwanini,kivipi na matokeo yake ni nini katika kutekeleza maazimio yao.Lakini pia tungepata uwiano wa kilichopatikana (jana) na harambee zilizopita (sijui ilipatikana shilingi ngapi),uwazi katika matumizi na mwelekeo wa hazina ya chama kulinganisha na mahitaji ya fedha. Nadhani kuna kitu hakiko vizuri ndani ya CHADEMA kuhusu fedha na usimamizi wake,bila shaka demokrasia ya Chama chetu inatakiwa ifanyiwe political reform!
 
Mbona kidogo ulikilinganishwa na Dar milioni 300? hebu niwekee namba ya P-PESA KESHO NI CHANGIE, haiwezekani kabisa, tunaotakiwa kuchangia ni sisi wenyewe
 
Mwanakijiji usisahau ndani ya mioyo yetu TUMEICHANGIA chadema kwa ballots zetu 2015!!!
 
Mkuu bado haijawa habari ila ni taarifa,hata kama ni taarifa basi walau tungepata 5Ws and H (nani-CHADEMA,wamefanya nini,wapi,kwanini,kivipi na matokeo yake ni nini katika kutekeleza maazimio yao.Lakini pia tungepata uwiano wa kilichopatikana (jana) na harambee zilizopita (sijui ilipatikana shilingi ngapi),uwazi katika matumizi na mwelekeo wa hazina ya chama kulinganisha na mahitaji ya fedha. Nadhani kuna kitu hakiko vizuri ndani ya CHADEMA kuhusu fedha na usimamizi wake,bila shaka demokrasia ya Chama chetu inatakiwa ifanyiwe political reform!

Mkuu wewe huoni kinacho Fanyika? Hizo pikikipiki ambazo zinatarajiwa kusambazwa kila Kata zimenunuliwa kwa pesa ipi? je hizo M4C zinazo endelea?

Au unataka kila wakitumie pesa basi watoe tangzao kwamba katika milioni 300 za M4C leo tumetumia milini 5. Kinacho takiwa ni waatu waendelee kuchangia tu, tuamnini pesa zinafanya kazi iliyo kusudiwa na si vinginevyo, na ishu ya kuto ruswa hewani itakuwa imechangia sana
 
Siyo mbaya maana haikurushwa pia kwenye TV wangeweza kuchangia na watu ambao hawakuwa kwenye ukumbi. Kuna matembezi ya kuchangia M4C Dar. Nadhani haya ya Dar ni lazima yaandaliwe vizuri ili yalete impact. Tafadhari tushiriki wale ambao cdm iko moyoni!
 
Hata hiyo siyo haba inaweza fanya mikutano hata 150 kwa matumizi ya CDM maana wao hawahitaji kushawishi watu kwa tisheti, kanga, wala vitambaa na usafiri(Lori). Cha msingi Mwanza waendelee kujipanga next time watafanya vizuri zaid
 
Kwa taarifa za M4C ya jana iliyofanyika huko Mwanza kiasi hicho kimepatikana kama ahadi na taslimu...

Mwanza nzima wamepata milioni 9 na ahadi milioni 20.

Malengo ya Chadema ni kupata Bilioni 3 Mwanza kufikisha hicho kiwangu ni miujiza.
 
Mbona kidogo ulikilinganishwa na Dar milioni 300? hebu niwekee namba ya P-PESA KESHO NI CHANGIE, haiwezekani kabisa, tunaotakiwa kuchangia ni sisi wenyewe

Lini Dar walipata milioni 300?
 
Jana mimi niahilisha shughuli zangu zote niangalie kwenye star tv na nichangie elfu 40,lakini sikufanikiwa.chadema mmeanza kulegea.pesa ambayo mngelipia tv tungewachangia na mngejitangaza.
 
Mwanza nzima wamepata milioni 9 na ahadi milioni 20.

Malengo ya Chadema ni kupata Bilioni 3 Mwanza kufikisha hicho kiwangu ni miujiza.

Bora waliopata hizo mil 29 halali kuliko waliochukua kinyemela kwenye hazina halafu wanatangaziana wamekufa(Balali) kumbe wako hai.....
 
Mkuu wewe huoni kinacho Fanyika? Hizo pikikipiki ambazo zinatarajiwa kusambazwa kila Kata zimenunuliwa kwa pesa ipi? je hizo M4C zinazo endelea?

Au unataka kila wakitumie pesa basi watoe tangzao kwamba katika milioni 300 za M4C leo tumetumia milini 5. Kinacho takiwa ni waatu waendelee kuchangia tu, tuamnini pesa zinafanya kazi iliyo kusudiwa na si vinginevyo, na ishu ya kuto ruswa hewani itakuwa imechangia sana

afadhali chadema wanapata michango inajulikana ni ya wanyonge mikutano ya magwanda sh ngapi nayo wanatoa mapato na matumizi
 
Mwanza nzima wamepata milioni 9 na ahadi milioni 20.
Malengo ya Chadema ni kupata Bilioni 3 Mwanza kufikisha hicho kiwangu ni miujiza.
Hao ni maskini waliotoa kwa moyo wao wa upendo. Hata kama ni chache, ni nafuu kuliko hizo fedha za wizi na utapeli mlizo nazo ninyi mafisadi!!!!
 
nadhani kuna tatizo au labda star tv,walifanya hujuma ya kutorusha matangazo?japo si haba big up cdm
tupo pamoja.
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom