Chadema wabunge wao wapo sahihi kususia hotuba ya mkuu wa nchi

engmtolera

Verified User
Joined
Oct 21, 2010
Messages
5,094
Likes
71
Points
145

engmtolera

Verified User
Joined Oct 21, 2010
5,094 71 145
Ndugu wana jf,
wabunge wa chadema wapo sahihi kususia hotuba ya mkuu wa muungano,kwani ukisoma katiba vizuri (Ibara ya 41 Ibara ndogo ya 7 ya katiba yetu inakataza matokeo ya urais kuchunguzwa baada ya kutangazwa na Nec…) sasa kama chadema wamefungwa midomo na katiba mlitegemea wabunge hao wazionyeshe vipi hisia zao?, kwa mkuu na wapiga kura kuwa hawakubaliani na kitendo cha nec kumtangaza yeye kuwa mkuu wa muungano?

Ndio maana wasomi wengi ukiachana na wale wa udom tunahitaji katiba hii ibadilishe,kwani rais anaweza kuingia madalakani kwa hila yeyote ile na kwa kuwa katiba inamlinda tutabaki kugugumia tu.
nawasilisha

mapinduziiiiiii daimaaaaa
 

Forum statistics

Threads 1,203,595
Members 456,842
Posts 28,121,116