CHADEMA wabaya sana.

mkuuwakaya

JF-Expert Member
Mar 18, 2013
921
1,267
TZ ya. viwanda vya Jiwe Today February 15. Ni muda mzuri wa kutumia vyombo vya dola kuzuia shilling isiporomoke.
FB_IMG_1550225405472.jpg
 
Badala ya kupigania 'Mao Tsetung' wenu atoke Mahabusu mko busy kuchungulia bei ya Dola Bureaude change!

Kweli Ukiwa Haupo Na lako halipo


Eti wenyewe wakifika vijijini wanaonesha Data za kushuka thamani ya TSh ili ndio CCM ichukiwe
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom