CHADEMA waanzishe na kumiliki News Media zao

CHADEMA 'THINK-TANK' MAKAO MAKUU HUSIKENI MOJA KWA MOJA NA MAWAZO YETU SISI WENYE CHAMA CHETU ILI KUNAWIRISHA ZAIDI AZMA YETU YA KUWAKABIDHINI DOLA 2015.

Tulia mtoto DubiousBrain, acha kupiga mayowe bure hapo chini!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Wana-CDM msihangaike naye sana huyu kwani kila soko kuna kichaa wake na sisi hapa JF tunao wendawazimu 9 ambao mmoja wao ni huyu na yule Nape. Twende nao hivo hivo maana nao wana haki ya maoni hata kama ni upupu.

Wewe mtani DubiousBrain, sasa naanza na SERIOUS BUSINESS kwa wana-CDM, kwako wewe subiri kidogo utaona utamu wa chama kupendwa; hakuna kugasi wafanyabiashara kupitia siasa za TRA bali hapa ni sisi wenyewe wananchi ndio tunakiomba CHADEMA tukichangie kwa ajili ya kupatikana vituo vya kweli vya televisheni ya TAIFA pamoja na radio.

Kuendeleza elimu ya uraia kote nchini hasa vijijini maana CCM huwa wamewekeza zaidi katika umbumbumbu wetu wananchi.

Na kwa kuwa tumegundua siri kubwa ya CCM ni kutumia mabalozi wa nyumba kumi kama nguzo kuu ya KUCHAKACHUA KURA kama walivyokamatwa wakifanya kule Igunga, lengo letu vijana sasa ligeukie kunyakua viti vya utawala vyote vijijini vikiwa ni pamoja na kiti cha:


1. Mwenyekiti wa Kijiji,

2. Kiti cha Udiwani,

3. Kiti cha Balozi wa Nyumba Kumi

4. Mashina ya Chama katika kila kata na kijiji (kuwepo watu wa kuhiari kutumikia chama na wa wa kuhiari kufadhili uendeshaji wa ofisi husika).

5. Benchi la Matawi ya CDM katika vyuo vikuu kote nchini.

6. Kuwaomba wenzetu walioko huko ughaibuni nao kufungua matawi huko huko.

7. Matawi yanayoratibu Maendeleo ya akina Mama CHADEMA vijijini.

8. Kubadilisha haraka USIMAMIZI WA UCHAGUZI usifanywe na wakurugenzi wa halmashauri za miji ambao siku zote makada wa CCM, badala ya kazi ifanywe na taasisi huru kabisa kama vile NGO.

9. CHADEMA kianzishe mfumo wa kepembua vijana maalum (Young Turks - wasichana kwa wavulana) katika ngzi ya kila Kata na waandaliwe vizuri sana kuwa MA-KADA watarajiwa wa chama n waunganishwe ndani ya BAVICHA.

10. Mawasiliano rasmi nazisizo rasmi kati ya makao makuu ya chama na mashina na vyombo vyote vya CDM bila kusubiri ha siku za uchaguzi tu.

Da Regia, ni vema kutumike teknolojia za kisasa zaidi, zenye tija zaidi, haraka zaidi, na yenye kuleta uwepo wa maafisa wa juu CDM kuwa karibu zaidi na waongozwa mashinani. Kwani tujue kwamba kujenga mtandao mzito kama hivi sasa CDM ni jambo moja na kulihudumia huo mtandao kuendeleza uhai wake ni jambo lingine kabisa.

Mpaka leo hii kila mmoja anaju ni mchangu muhimu kiasi gani kilichofanywa na viongozi wetu BAVICHA kule Igunga - kweli BAVICHA ni mashine kubwa mnooo!!!!!!!!!!!!!!!

Huu ndio wakati mwafaka wa kukipa CHADEMA nguvu kweli kweli ILI KIENDELEE KUPAA zaidi na zaidi. Hakika maeneo hayo saba yakitekelezwa vizuri basi nawahakikishieni kwamba watu tutaona moto mkubwa ajabu wa mabadiliko nchini. Siku zote vita bila mikakati endelevu ni kazi bure twende sasa!!!!!!!!!!!!

NB: kwa kuwa umemaliza kusoma mawazo yetu haya hapa hebu sasa malizi kwa kusema maneno haya hapa:

'MABADILIKO YA KWELI NCHINI KUPITIA CHADEMA SIKU ZOTE YANAANZA NA MIMI NA NI JUKUMU LANGU KUWA SEHEMU NA CHACHU WA MABADILIKO HAYO NINAYOYATAMANI.'

Mawazo mazuri sana, hao wanaosema cdm imepoteza hele bure kule igunga...... naazikdi kupoeta imani na CCM, kwani kama hao ndio watete wa CCM, basi ... kuna msemo unasema ukiona paka kakubali kulala chali.......shughuri imekwesha
 
Siku likiridhiwa na likipitishwa na CHADEMA, daima nitakuwa miongoni mwa watakaoanza kuchanga.
Ni wazo zuri sana na tunaomba Regia, Zitto, Mnyika, Slaa na wengine wenngi walioko humu walifikishe mahali husika,
 
Huo mfuko msimkabidhi Mbowe kwasababu mtakuta hela zote zipo counter Bilicanas

Akili za mtu upimwa na vitu vingi,na hekima ya mtu uonekana kwenye maneno yake...the same,upunguani wa mtu uonekana kwenye maneno yake...
 
Now ur talking great thinker jamani ata kadi zinabidi zitengenezwe kwa wingi sana,am ready even to pay for the construction of CDM office at my village kama inarusiwa.
 
Haya sasa, ndio michango ya kulipa deni la hela mlizokopa za kampeni ya Igunga. Hao wa vijijini mtawanunulia na TV pia?
Haikuhusu usichangie usisaidie na unyamaze kimyaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa mwehu wewe!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Washabiki wote wa CDM ni majobless sasa hizo hela zitatoka wapi? Bora mfateni RA awasaidie.

Ndugu Omary hatufanyi mambo kishabiki tunachotaka hasa ni kubadiri uongozi kwani chini ya ccm chama unachokishabiki nchi yetu imepondeka sana,hakuna tunachoweza viongozi wa juu ndio wanaonufaika wakiwatumia watanzania wenye shida.Miaka 50 ya uhuru kama taifa hatuna kuubwa la kujivuni kwani hata hizo barabara za lami zinazotajwa ni 1% katika km 84000 nchi nzima. Ni 1% tu ya ardhi iliyopimwa,zaidi ya 78% ya makazi nchi hayajapangwa,ubora wa elimu unazidi kushuka eti ktk wanafunzi 10 wanaomaliza darasa la 7 wa3 hawajui kusoma kitabu cha kiswahili cha darasa la 2.Unakumbuka mwaka jana zaidi ya nusu ya wanafunzi waliomaliza form 4 walipata 0 yaani wanafunzi zaidi ya 6 kati 10 walipata div 0.Hebu ona bei ya vyakula inavyopanda kila siku,hebu ona ya maisha ilivyombaya vijijini.OMARY SIYO KUIPENDA TU CCM NA KUICHUKIA CHADEMA,KIKUBWA NI MSTAKABALI WA NCHI YETU UKIZINGATIA ZA MALI ASI ZETU ZINAVYOONDOSHWA NCHINI.
 
Siku likiridhiwa na likipitishwa na CHADEMA, daima nitakuwa miongoni mwa watakaoanza kuchanga.
Ni wazo zuri sana na tunaomba Regia, Zitto, Mnyika, Slaa na wengine wenngi walioko humu walifikishe mahali husika,
Wengine siwaamini kabisa kama Zito Kabwe, sijui kama tuko naye au vipi???????????
 
Ndugu Omary hatufanyi mambo kishabiki tunachotaka hasa ni kubadiri uongozi kwani chini ya ccm chama unachokishabiki nchi yetu imepondeka sana,hakuna tunachoweza viongozi wa juu ndio wanaonufaika wakiwatumia watanzania wenye shida.Miaka 50 ya uhuru kama taifa hatuna kuubwa la kujivuni kwani hata hizo barabara za lami zinazotajwa ni 1% katika km 84000 nchi nzima. Ni 1% tu ya ardhi iliyopimwa,zaidi ya 78% ya makazi nchi hayajapangwa,ubora wa elimu unazidi kushuka eti ktk wanafunzi 10 wanaomaliza darasa la 7 wa3 hawajui kusoma kitabu cha kiswahili cha darasa la 2.Unakumbuka mwaka jana zaidi ya nusu ya wanafunzi waliomaliza form 4 walipata 0 yaani wanafunzi zaidi ya 6 kati 10 walipata div 0.Hebu ona bei ya vyakula inavyopanda kila siku,hebu ona ya maisha ilivyombaya vijijini.OMARY SIYO KUIPENDA TU CCM NA KUICHUKIA CHADEMA,KIKUBWA NI MSTAKABALI WA NCHI YETU UKIZINGATIA ZA MALI ASI ZETU ZINAVYOONDOSHWA NCHINI.
Huyo Omr Brain Zero na wenzake bila shaka wapo kwenye pay roll ya Nape hiwezekani kila siku kupingana na ukweli!!!!!!!!!!! Wana maslahi fulani katika chama cha maghamba tena makubwa!!!!!!!!!!!!
 
Washabiki wote wa CDM ni majobless sasa hizo hela zitatoka wapi? Bora mfateni RA awasaidie.


Umasikini wa kifamilia mlionao huko kwenu umewafanya kudhani hakuna maisha bila Nape! Kwakuwa unalishwa na akina RA akili imehamia kwenye masaburi na huna namna ya kuishi bila wao! Pole sana dada! Umekuwa kama mama wa nyumbani na unafikiri maisha ndivyo yalivyo?
 
Mkuu umenea, naunga mkono hoja hii na niko tayari kuchangia hata kuanzia kesho. Ukombozi wa nchi ni gharama na lazima lazima gharama hizi tuzibebe wenyewe kwa faida ya kizazi hiki na kijacho.

Mungu wabariki wazalendo wa Tanzania, Mungu ibariki chadema, Mungu ibariki Tanzania
 
mzee mahindi bado yapo kwenye maghala baada ya kazi pevu ya igunga? maana kuna chaguzi ndogo zinafuata hivi karibuni - jimbo la segerea litakuwa wazi muda si mrefu.

Mkuu tupe data kuhusu hili jimbo
 
Mna mawazo mazuri lakini viongozi wenu wa chadema hawashauriki kabisa na kwa mtindo huu kama wakiendelea kushika dola ni ndoto kabisa kuna watu humu jf kama waberoya,mwanakijiji,mkandara na hata pasco huwa wanawashauri mawazo mazuri mfano juu ya kudai tume huru ya uchaguzi kwa nguvu zote lakini wanaambulia matusi kutoka kwa pro chadema jf.wachangamke wakati ni huu wanapokubalika.
 
Washabiki wote wa CDM ni majobless sasa hizo hela zitatoka wapi? Bora mfateni RA awasaidie.

Kwa hili umechemsha kwani ni dhahiri CCM ndio chama kinachoongoza kuwa na majobless,waokota chupa majalalani na watu waliochanganyikiwa wake kwa waume,vijana kwa wazee na ndio chama kinachongoza kuwa na vijiwe na matawi pasipo makazi ya watu.
 
Naamini nguvu ya umma ni zaidi ya watu wanavyofikili,,, hawa viongozi wa CDM mko wapi ili mtupe muongozo wa kuanza mchango maana najua kila mwezi tukiwa tunachangia 1000 mara miezi 5 ni pesa tosha,,,CDM ina zaidi ya wanachama milioni 5 mijini na hii pesa ikitumika kutafuta wanachama milioni 4 vijijini itakuwa na wanachama milion 9 ambao wana sifa za kupiga kura na itakuwa imetosha kuwaangusha hawa manyonya damu za watanzania,,

Hesabu ndogo kwa pesa itakayopatikana kwa ajili ya kujiimalisha vijijini ili kupata wanachama milion 4
1000*watu milion 5*miezi 5=25,000,000,000
Hii ni zaidi ya Tsh bilion 25 ambazo ni dhahili kuwa CHADEMA kitaweza kuwaelimisha watanzania walioko vijijini ambao hawajui nini kinachoendelea ndani ya hii nchi.

Tena wengine tutachanga hata elfu 10 kwa mwezi ili kukava pengo la wachache watakaoikosa hiyo elfu 1., na ninajua wapo watakaochanga zaidi ya laki moja ambao wana machungu na kuchakachuliwa kodi zao,,na yapo makampuni yatachanga zaidi ya hiyo ili wapate viongozi makini watakaowaletea umeme wa kutosha ili waendeshe makampuni yao kwa faida kwa kupata umeme wa uhakika.

DR SLAA, MBOWE ,ZITTO, MNYIKA,, TINDU LISU tuko nyuma yenu tunawasubili mtoe tamko juu ya hili,, hii ni nguvu ya umma kila kitu kinawezekana...
 
Ni wazo zuri kutengeneza kofia,skafu na key holders,faida ya hata elfu si kidogo.Iwe mapema kabla wa2 hawajakata tamaa.
 
Haya yalishaongelewa hapa mara nyingi likiwemo suala la kuandikisha wanachama online nadhani imebaki utelezaji, labda kuwakumbusha sio mbaya.
 
Back
Top Bottom