CHADEMA waache kabisa kuwa reactive wawe proactive kama awali katika siasa za nchi yetu

Stabilaiza

JF-Expert Member
Jul 11, 2012
1,843
1,143
Kabla ya ujio wa Lowasa na kuondoka kwa Dr. Slaa, Chadema kilikuwa kinaongoza mijadala kuhusu mstakabali wa nchi yetu. Chadema walifanikiwa ku-plan strategically mijadala na mikakati ya kisiasa nchini na hivyo kuwafanya CCM kuwa katika defensive mode (kujihami). CCM kilipata ganzi ya akili na hivyo kazi yao ilikuwa kuwasubiri CDM waibue mijadala na hivyo CCM kuwa reactive.

Mambo yaligeuka kabisa tangu helikopita ilipogiga reverse angani. That was a defining moment ambapo CDM ilianza kuwa reactive. Harakati za vijana wa CDM, ambao walikifanya chama kupendwa kwa hoja zao mruwa zikafifishwa. Akatangulizwa Lowasa badala ya vijana hawa akina Mdee, Mnyika, Msigwa, Lissu, n.k. Wengi tulitahadharisha sana na kuwaonya CDM kuwa Lowasa atakuwa liability (mzigo) kwa chama. Tuliona kuwa viongozi wa CCM walikuwa pre-occupied na matokeo ya muda mfupi waliyodhani watayapata, badala ya kuendelea kujenga taasisi endelevu -yenye mizizi mpaka chini kabisa katika mioyo ya watu. CDM inayoongozwa na vijana na yenye kuongoza mijadala yakisiasa Tanzania. Tulionya kuwa nafasi na harakati za vijana, pamoja na ajenda ya CDM ya kupinga ufisadi zitazimuliwa kama siyo kuzimwa kabisa. Ndicho kilichotokea.

Angalia hapa: CHADEMA bila Dr. Slaa haina dira wala hamasa (CHADEMA without Slaa lacks vision and enthusiasm)

Kabla ya kuendelea ngoja nitoa ufafanuzi wa tofauti ya neno reactive na proactive:
Ukiangalia kwenye dictionary na maelezo mbalimbali kutoka kwenye mitandao utaona tofauti zifuatazo za maneno haya mawili.

Reactive: done in response to a problem or situation : reacting to problems when they occur instead of doing something to prevent them. A person who is reactive usually responds to another, but does not act on himself. Such people do not usually take the initiative in something. This is a negative feature of an individual as the person. People who are reactive in society need a push to complete a task. They do not take it upon themselves unless they are being told to by someone else.

Proactive: refers to being prepared even before an incident takes place. A proactive person takes the initiative and is prepared, unlike a reactive person. Unlike a reactive leader who responds to situations as and when events take place, a proactive leader is one who anticipates what is going to happen and works accordingly to minimize the effect of the event or to work to take advantage of the event.

CCM wame-take advantage ya ujio wa Lowasa na Sumaye CDM. Kwa mfano hivi karibuni, katika Bunge Chadema walipendekeza kuwa marais waliohusika kwa namna moja ama nyingine kuwepo kwa mikataba nyonyaji ya madini kati ya nchi yetu na wawekezaji (wanyonyaji au wezi kama wengine wanavyowaita) nao washughulikiwe. Ndugai aliwaambia CDM kuwa wawe makini na wakumbuke CDM wana viongozi wawili wanaohusika na maamuzi ya mikataba, akimaanisha Lowasa na Sumaye. Kumbe hapa Ndugai anakuwa kama wale wanaotumia mbinu yak u-blackmail. Anakuhusisha katika jambo chafu halafu anatumia weakness hiyo kukuendesha na kukutumia kama anavyotaka. CDM wanyea.

Nini kifanyike ndani ya CDM?

Wakati wa changamoto za kisiasa kama sasa ambapo serikali inaminya demokrasia ya vyama vingi, ni wakati wa CDM kuwa wabunifu zaidi. Wanatakiwa wafanye yafuatayo kwa haraka sana.

1. Lowasa na Sumaye wasiwekwe forefront katika harakati za kisiasa za CDM. Wawekwe nyuma ya pazia, wasionekane. Hawa si symbol ya harakati za CDM. Wakati ukifika CDM iwa-phase out.

2. Vijana warudi forefront kama tunavyoijua CDM. Alama ya harakati za CDM iwe vijana wakiwemo akina Mnyika, Msigwa, Vincent Nyerere, Halima Mdee, Lissu n.k.

3.CDM ya akina Baregu, Safari n.k. (huku Lowasa na Sumaye wakiwekwa nyuma ya pazia- tena mbali kabisa) wabuni strategy za kisiasa na mijadala ya kisera ili CCM irudi mahali pake pa kuwa reactive na defensive na CDM wawe proactive na hivyo kuwa viongozi katika nchi hii.
 
Mkuu chadema kila siku inaendelea kuimarika tatizo ccm Kuna wazee, wasio na elimu na masikini wa Mali na mawazo, wizi wa madini upinzani ulipiga kelele miaka 18 iliyopita lakini Leo ndiyo ccm na wasio na elimu ndiyo wanagundua kuwa taifa linaibiwa, CCM NI KANSA
 
HAHAHAHA....comical Ali, salama? CHADEMA inaimirika kwa lipi, 17% au hukusoma taarifa week 2 zilizopita?

Tukurudi kwa mtoa mada ana point lakini amesahau jambo moja la msingi, ujumbe wake ameelekeza kwa CHADEMA ipi? Sasa hivi tuna CHADEMA nyingi, Kuna CHADEMA Mbowe, CHADEMA Lowassa, CHADEMA Ndesamburo (RIP) na kuna wakina Mnyika ambao wamapigwa ganzi, na kila kikundi kina malengo yake. Sasa ni CHADEMA ipi anataka iwe Proactive?
 
Mwenyekiti Mbowe alipeleka chama ICU, Mgombea urais Lowassa akakiuwa, katibu mkuu Dr Vincent Mashinji akamalizia kukizika....rip cdm
 
Kiukweli ile gia ya angani ni jambo la aibu kabisa. Mtu anahamia kwenye chama na kuachiwa nafasi ya kugombea uraisi?? Kusema ukweli ule ulikua upuuzi wa hali ya juu. Pengine wajaribu kufuata ushauri wa mleta uzi pengine bado kuna matumaini. Ila kwa hali ninavyoiona kwa uongozi wa CDM uliopo,ccm kwa kutumia mtaji wao wa wajinga wengi waliojaa nchini itaendelea kutamba tu.
 
mkuu umenena vyema,ilo liko wazi kabsa CDM ipo pabaya huyu mzee naona kama ametumwa kuja kuuwa CDM so bure.
 
Mkuu chadema kila siku inaendelea kuimarika tatizo ccm Kuna wazee, wasio na elimu na masikini wa Mali na mawazo, wizi wa madini upinzani ulipiga kelele miaka 18 iliyopita lakini Leo ndiyo ccm na wasio na elimu ndiyo wanagundua kuwa taifa linaibiwa, CCM NI KANSA
Inaimarika vipi kutoa 35% 2015 mpaka 17% 2017 huko ndio kuendelea.

Ile gia ya angani ndio kaburi la Chadema, vijana wengi sana wameumizwa na ile gia.

Na wengine tulimpa kura Magufuli sio kwa kuwa ni bora ili kwa kuwa anaunafuu kuliko tuliemuimba fisadi miaka 8.!
 
Hawana huo uwezo huo tena alikuwa engine Dr. Slaa na vichwa wengi walishaondoka au kuacha uongozi wamebaki vichwa panzi wakiiongozwa na frying to KIA
 
Uzi huu unahitaji utulivu katika kujadili.

Mkuu hili jambo nimeliongelea sana humu kwamba ile cdm yetu imepotea chini ya Lowassa na Sumaye. Mbowe sasa hivi ana promote warembo akina Wema, katibu mkuu hata jina huwa namsahau, yeye yuko kwenye offline mode.

Amebaki Tundu Lissu wangalau namuona tena anapambana kwelikweli. Hili la kuwamwaga akina Lowassa na Sumaye wala halihitaji mjadala, hao wazee hawajui siasa za upinzani wamekuja kulisha watu ukondoo kwa faida ya ccm. Hata sijui cdm imekumbwa na balaa gani, imekuwa kama uji wa baridi usio na sukari. Kabla Ben Saanane hayajamkuta yaliyomkuta niliwahi kumuambia hilo hapa jukwaani. Aliona hoja yangu lakini bado chama kilikuwa kwenye usingizi wa uchaguzi. Lakini naona muda unaenda sioni hatua. Cdm amkeni hao wazee wameletwa hapo na ccm kuua chama.
 
Kabla ya ujio wa Lowasa na kuondoka kwa Dr. Slaa, Chadema kilikuwa kinaongoza mijadala kuhusu mstakabali wa nchi yetu. Chadema walifanikiwa ku-plan strategically mijadala na mikakati ya kisiasa nchini na hivyo kuwafanya CCM kuwa katika defensive mode (kujihami). CCM kilipata ganzi ya akili na hivyo kazi yao ilikuwa kuwasubiri CDM waibue mijadala na hivyo CCM kuwa reactive.

Mambo yaligeuka kabisa tangu helikopita ilipogiga reverse angani. That was a defining moment ambapo CDM ilianza kuwa reactive. Harakati za vijana wa CDM, ambao walikifanya chama kupendwa kwa hoja zao mruwa zikafifishwa. Akatangulizwa Lowasa badala ya vijana hawa akina Mdee, Mnyika, Msigwa, Lissu, n.k. Wengi tulitahadharisha sana na kuwaonya CDM kuwa Lowasa atakuwa liability (mzigo) kwa chama. Tuliona kuwa viongozi wa CCM walikuwa pre-occupied na matokeo ya muda mfupi waliyodhani watayapata, badala ya kuendelea kujenga taasisi endelevu -yenye mizizi mpaka chini kabisa katika mioyo ya watu. CDM inayoongozwa na vijana na yenye kuongoza mijadala yakisiasa Tanzania. Tulionya kuwa nafasi na harakati za vijana, pamoja na ajenda ya CDM ya kupinga ufisadi zitazimuliwa kama siyo kuzimwa kabisa. Ndicho kilichotokea.

Angalia hapa: CHADEMA bila Dr. Slaa haina dira wala hamasa (CHADEMA without Slaa lacks vision and enthusiasm)

Kabla ya kuendelea ngoja nitoa ufafanuzi wa tofauti ya neno reactive na proactive:
Ukiangalia kwenye dictionary na maelezo mbalimbali kutoka kwenye mitandao utaona tofauti zifuatazo za maneno haya mawili.

Reactive: done in response to a problem or situation : reacting to problems when they occur instead of doing something to prevent them. A person who is reactive usually responds to another, but does not act on himself. Such people do not usually take the initiative in something. This is a negative feature of an individual as the person. People who are reactive in society need a push to complete a task. They do not take it upon themselves unless they are being told to by someone else.

Proactive: refers to being prepared even before an incident takes place. A proactive person takes the initiative and is prepared, unlike a reactive person. Unlike a reactive leader who responds to situations as and when events take place, a proactive leader is one who anticipates what is going to happen and works accordingly to minimize the effect of the event or to work to take advantage of the event.

CCM wame-take advantage ya ujio wa Lowasa na Sumaye CDM. Kwa mfano hivi karibuni, katika Bunge Chadema walipendekeza kuwa marais waliohusika kwa namna moja ama nyingine kuwepo kwa mikataba nyonyaji ya madini kati ya nchi yetu na wawekezaji (wanyonyaji au wezi kama wengine wanavyowaita) nao washughulikiwe. Ndugai aliwaambia CDM kuwa wawe makini na wakumbuke CDM wana viongozi wawili wanaohusika na maamuzi ya mikataba, akimaanisha Lowasa na Sumaye. Kumbe hapa Ndugai anakuwa kama wale wanaotumia mbinu yak u-blackmail. Anakuhusisha katika jambo chafu halafu anatumia weakness hiyo kukuendesha na kukutumia kama anavyotaka. CDM wanyea.

Nini kifanyike ndani ya CDM?

Wakati wa changamoto za kisiasa kama sasa ambapo serikali inaminya demokrasia ya vyama vingi, ni wakati wa CDM kuwa wabunifu zaidi. Wanatakiwa wafanye yafuatayo kwa haraka sana.

1. Lowasa na Sumaye wasiwekwe forefront katika harakati za kisiasa za CDM. Wawekwe nyuma ya pazia, wasionekane. Hawa si symbol ya harakati za CDM. Wakati ukifika CDM iwa-phase out.

2. Vijana warudi forefront kama tunavyoijua CDM. Alama ya harakati za CDM iwe vijana wakiwemo akina Mnyika, Msigwa, Vincent Nyerere, Halima Mdee, Lissu n.k.

3.CDM ya akina Baregu, Safari n.k. (huku Lowasa na Sumaye wakiwekwa nyuma ya pazia- tena mbali kabisa) wabuni strategy za kisiasa na mijadala ya kisera ili CCM irudi mahali pake pa kuwa reactive na defensive na CDM wawe proactive na hivyo kuwa viongozi katika nchi hii.

Mkuu, Umewasaidia saaaaaaana...Ila ninashaka kama wataupokea ushauri wako ingawa ninauhakika wa asilimia mia tano (500%) kuwa wanajua huu ndio ukweli..LET SEE!
 
Mkuu hili jambo nimeliongelea sana humu kwamba ile cdm yetu imepotea chini ya Lowassa na Sumaye. Mbowe sasa hivi ana promote warembo akina Wema, katibu mkuu hata jina huwa namsahau, yeye yuko kwenye offline mode.

Amebaki Tundu Lissu wangalau namuona tena anapambana kwelikweli. Hili la kuwamwaga akina Lowassa na Sumaye wala halihitaji mjadala, hao wazee hawajui siasa za upinzani wamekuja kulisha watu ukondoo kwa faida ya ccm. Hata sijui cdm imekumbwa na balaa gani, imekuwa kama uji wa baridi usio na sukari. Kabla Ben Saanane hayajamkuta yaliyomkuta niliwahi kumuambia hilo hapa jukwaani. Aliona hoja yangu lakini bado chama kilikuwa kwenye usingizi wa uchaguzi. Lakini naona muda unaenda sioni hatua. Cdm amkeni hao wazee wameletwa hapo na ccm kuua chama.

Mkuu, Uko sahihi ila naomba niweke sawa sehemu ndogo tu kwenye sentensi yako ya mwisho kabisa.."Aliyekubali kuwapokea EL na Sumaye ndiye aliyekiua chama" Hope umenielewa
 
Mkuu hili jambo nimeliongelea sana humu kwamba ile cdm yetu imepotea chini ya Lowassa na Sumaye. Mbowe sasa hivi ana promote warembo akina Wema, katibu mkuu hata jina huwa namsahau, yeye yuko kwenye offline mode.

Amebaki Tundu Lissu wangalau namuona tena anapambana kwelikweli. Hili la kuwamwaga akina Lowassa na Sumaye wala halihitaji mjadala, hao wazee hawajui siasa za upinzani wamekuja kulisha watu ukondoo kwa faida ya ccm. Hata sijui cdm imekumbwa na balaa gani, imekuwa kama uji wa baridi usio na sukari. Kabla Ben Saanane hayajamkuta yaliyomkuta niliwahi kumuambia hilo hapa jukwaani. Aliona hoja yangu lakini bado chama kilikuwa kwenye usingizi wa uchaguzi. Lakini naona muda unaenda sioni hatua. Cdm amkeni hao wazee wameletwa hapo na ccm kuua chama.
Kilichoikumba CDM ni kuwa walikuwa na mtazamo wa mafanikio ya muda mfupi wakasahau mafanikio ya muda mrefu. Walipomkaribisha Lowasa iliwalazimu waache ajenda yao kuu ya ufisadi iliyowapatia mafanikio makubwa. Kilichowakumba kingine ni kwamba baada ya Lowasa na Sumaye kupokelewa CDM vijana wa chadema waliokuwa hamasa na chachu ya ushindi na kupendwa kwa CDM wakawekwa nyuma na badala yake wametangulizwa hao wazee. Ndiyo maana nimependekeza kuwa hao wazee sasa wawekwe mbali kabisa nyuma ya pazia na muda na baada ya muda wawe-phased out. Wamekuwa liability kwa chama, angalia Ndugai alivyowarudi CDM kuhusu pendekezo la kushughulikua marais wastaafu.
 
13 Reactions
Reply
Back
Top Bottom