Ritz
JF-Expert Member
- Jan 1, 2011
- 46,892
- 32,308
Wana Ukumbi.
Najua bado kuna mjadala mkubwa na simtofahamu ndani ya CHADEMA, wafuasi wa CHADEMA hawaamini kinachoendelea ndani ya chama chao.
Hili sakata la CHADEMA liwe funzo kwa vyama vingine vya siasa kikubwa kinachoitafuna Chadema kwenye sakata la wabunge 19 viti maalumu ni kuchanganya mahusiano na kazi, karibia viongozi wote wa CHADEMA wana mahusiano na hawa Wabunge inakuwa ngumu kufanya maamuzi tofauti na zamani tunavyo wafahamu viongozi wa CHADEMA jinsi walivyowafukuza kina Zitto Kabwe, Kitilia, Kafulila, na wengine nakumbuka kuna mwanachama mmoja alipigwa tofali kwa usaliti.
Msipofanya maamuzi magumu kwa kuhofia mtapoteza wapenzi wenu basi mtakuwa kambi moja na TLP, NCCR Mageuzi.
Inaonekama Mnyika ndiyo hana mahusiano na hao wabunge cha kushangaza mpaka Sugu, anasema hawezi kuongea chochote.