CHADEMA vipi mgombea urais 2015 mbona kama...?

Status
Not open for further replies.
Apr 27, 2006
26,588
10,374
- Well, nimekuwa najiuliza hili swali kwa muda sasa kwamba CHADEMA wanafikiria nini hasa kuhusu mgombea Urais 2015, maana sio siri kwamba kwa sasa hawana, DR. Slaa hawezi tena kugombea na akigombea itakuwa a big insult kwa wengine huko CHADEMA kwa sababu haiwezekani mtu kila akigombea anashindwa halafu mnampa tena huyo huyo, baada kushindwa sana na chaguzi mbali mbali ni clear kwamba hana jipya tena!!

- Mbowe hawezi kugombea tena maana amegombea sana na kushindwa kila wakati, so Zitto ndiye mgombea peke yake ambaye bado kugombea Urais, ni msomi wa kweli, ni mwanasiasa na anawafaa sana CHADEMA, lakini kwa vile huko wenzetu wamezoea kukumbatia mediocre hawamtaki, Walimtegemea sana Waziri wa CCM Sitta, lakini na yeye kawatolea nje sasa swali ni je watampata wapi mgombea credible?

CHADEMA mtafakari hii kuliko kupoteza muda mwingi kushindana na hoja mfu na CCM, ukweli ni kwamba 2015 hamna mgombea credible CCM ina team ya wagombea credible, jipangeni sasa jamani!!

NI USHAURI WA BURE TU JAMANI!!
 
ccm mnatafutaga zomea zomea makusudi.. utazomewa hapa mbaka utajuta..utapata uanachokitaka!

:becky::becky:
 
- Well, nimekuwa najiuliza hili swali kwa muda sasa kwamba Chadema wanafikiria nini hasa kuhusu mgombea Urais 2015, maana sio siri kwamba kwa sasa hawana, DR. Slaa hawezi tena kugombea na akigombea itakuwa a big insult kwa wengine huko Chadema kwa sababu haiwezekani mtu kila akigombea anashindwa halafu mnampa tena huyo huyo, baada kushindwa sana na chaguzi mbali mbali ni clear kwamba hana jipya tena!!

Sikujua kuwa ilikuwa big insult kwa mdingi wako kupigwa chini wakati anawania nafasi ya urais. Inaelekea Chadema inakunyima sana usingizi kila ukipost siku hizi hapa JF lazima uizungumzie Chadema na Dr.Slaa, vipi wamekukamata sehemu mbaya nini?

Ha ha...mkuu hivi toka urudi toka mamtoni umegombea chaguzi ngapi na kushindwa?mbona huachi?
- Mbona huulizi nimeshinda ngapi na nimegombea Urais mara ngapi? ha! ha! ha! ha! halafu useme Mbowe na Slaa wamegombea Urias mara ngapi na wameshinda mara ngapi? ha1 ha! ha!

Le Mutuz!!
 
Sikujua kuwa ilikuwa big insult kwa mdingi wako kupigwa chini wakati anawania nafasi ya urais. Inaelekea Chadema inakunyima sana usingizi kila ukipost siku hizi hapa JF lazima uizungumzie Chadema na Dr.Slaa, vipi wamekukamata sehemu mbaya nini?

- Unazungumzia Makamu Wa Rais na Waziri Mkuu Mstaafu, ndio utalinganisha na Makatibu kata Slaa au Mbowe? Yaani hizi hoja zingine sijui hata kwa nini ninajibu!!

Le Mutuz!
 
Pilipili usiyokula inakuwashaje? Mvua inyeshe milima ya Uruguru wewe uk o Singida na miavuli! Tabu ya n ini? Kwa taarifa yako pengine ukaanze upya. CDM hawawezi kuwa blackmailed namna hiyo. Wewe huwezi kuwachagulia nani wa kumteua na nani wa kumwacha. Kwa kawaida wewe huwezi kutoa ushauri kwa CDM kwa nia na dhamira njema kwa sababu siku zote una wish CDM washindwe. Katengeneze mambo yenu ccm achana na CDM. Kumpa shavu Zito ili baadaye muweke pingamizi la uraia na umri sijui nini, ni hila zilizo wazi sana na wala hazihitaji mtu kusoma Masters ya Human Psychology ndiyo akutambue.

Achana na CDM. Shughulika na ya kwenu ccm.
 
- Brother hili taifa ni letu sote tunataka kuona japo kunakuwepo balance kidogo, yaani mnatupa CCM competition japo kidogo ndio maana tunawashitua mapema kwamba pamoja na makelele yenu mengi sana ukweli ni kwamba 2015 hamna mgombea Urais credible!!

- Labda muwaombe between: MWanakijiji, DR. Kitila au Zitto hawa tu ndio wanfaa kugombea Urais, ama sivyo mtaishia aibu ile ile ya kila Uchaguzi wa Rais!!

Le Mutuz!!
 
Eti Slaa na Mbowe wameshindwa mara nyingi, mara ngapi? unajua laurent gbagbo wa ivory coast alishindwa mara ngapi kabla ya kuwa rais? unajua kikwete alishindwa 1995 na mkapa kabla ya kuja kushinda 2005? nna uhakika hao ndo wana kuumiza kichwa, lakini anyway kwa ccm hii ya sasa awe zitto awe mnyika bado mna wakati mgumu tu, chama kimebaki kupiga promo lakini kwa kweli kiko hoi!
 
Hata km CHADEMANi wakisimamisha jiwe 2015 watashinda otherwise muibe kura km kawaida yenu,,,Tumewachoka mmeiba sna jaman!

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom