Chadema vipi kuhusu jimbo la nyang'wale na geita mjini? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chadema vipi kuhusu jimbo la nyang'wale na geita mjini?

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Kalunguine, Oct 15, 2010.

 1. Kalunguine

  Kalunguine JF-Expert Member

  #1
  Oct 15, 2010
  Joined: Jul 27, 2010
  Messages: 2,544
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Hapa nyang'wale na geita mjini chama kina jina kubwa ila mgombea wa hapa nguru bright tanganyika amefanya tukio la aibu kwa wapenda demokrasia nchini,,kitendo cha kumfuata mgombea wa CCM bwana HUSSEN KASSU na kumuomba milioni tano ili ajitoe katika kinyan'ganyiro cha kugombea eti kwa madai alidanganywa na uongozi wa chadema makao makuu kuwa angepewa pesa za kampeni na badala yake hakupewa hata senti moja na hata nauli ya kurudi geita ilibidi aombe kwa rafiki zake!! sijui kama ni kweli haya ila ndio maneno yake tena anayazungumzia katika vijiwe vya kahawa!
   
 2. Lu-ma-ga

  Lu-ma-ga JF-Expert Member

  #2
  Oct 15, 2010
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 2,702
  Likes Received: 317
  Trophy Points: 180
  Dr.Slaa ATAKUWEPO LEO HUKO MUELEZE SHIDA YAKO
   
 3. TUKUTUKU

  TUKUTUKU JF-Expert Member

  #3
  Oct 15, 2010
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 11,852
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Kama ni kweli,hii ni aibu kubwa!na kama ni uongo hizi kampeni za maji taka!
   
 4. Kalunguine

  Kalunguine JF-Expert Member

  #4
  Oct 15, 2010
  Joined: Jul 27, 2010
  Messages: 2,544
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  njoo geita uhakiki brother!!
   
Loading...