MUSSA ALLAN
JF-Expert Member
- Oct 13, 2013
- 18,925
- 13,259
Jamaa alipotua tu UK akaniambia nimpeleke popote pale walipopaki helikopta apige picha kuwachanganya misukule
Dah! Kweli Kuishabikia CHADEMA inabidi uwe na akili ya msukule!
Jamaa alipotua tu UK akaniambia nimpeleke popote pale walipopaki helikopta apige picha kuwachanganya misukule
Dah! Kweli Kuishabikia CHADEMA inabidi uwe na akili ya msukule!
Watu kama wewe maisha yenu huwa boring sana....
Kujiona una busara kuliko busara kutakufanya umuone kila mtu mjinga na matokeo yake utaishia ku kupata shinikizo la damu
Na yule Twiga je, hivi alipitia wapi? SIASA ILEILE CHADEMA,, CCM wote wale wale...Hivi Chris Lukosi ile helkopta LEMA aliyopiga nayo picha ishaondoka huko UK? au ndio iko majini? maana ni kitambo sasa.
Dah! Kweli Kuishabikia CHADEMA inabidi uwe na akili ya msukule!
Ndugu zabguni
Leo nimetumia muda mwingi sana kujiuliza na bora zaidi kwa vituko kati ya chadem na ze comedi
Kwa kifupi nikwamba Chadema walishinda , na sababu ya ushindi wao ni kuwa wao wako real sio waigizaji hivyo basi , mtu akipigwa tofa lazima atoke damu, sio kupaka chilisosi kutuzuga
Ze comedi wao wana act tu hivyo ni rahisi kuchuja
NANI MWINGINE ATATIMULIWA?
JITAMBUE !