CHADEMA V/S ze COMEDY nani ZAIDI?

jakaya mrisho...mpoto mrisho na hata ngasa mrisho basi ccm ze komedi....chadema ze komedi..basi yote sawa

#kunjani kuti
 
Watu kama wewe maisha yenu huwa boring sana....

Kujiona una busara kuliko busara kutakufanya umuone kila mtu mjinga na matokeo yake utaishia ku kupata shinikizo la damu

Mkuu, i hv a beautiful life ahsante Mungu!! Hapa si swala la kujiona busara, usikwepe mantiki ya post yangu. Kuleta mswala ya Chadema Vs Ze Comedy ni kuwa na mawazo mafupi sana. Hivi kweli baada ya kulinganisha, will the situation get better?? Ninasema tena, hicho kichwa sasa kimekuwa cha kubebea mizigo - kifanye cha kufikiria na kuwazua!!
 
naona wizi wa mali za nchi yetu ndo unakufanya uwe shabiki wa CCM na kujitoa ufahamu. Hivi si wewe ndo umepewa kukata miti na kupasua mbao kule SAO-HILL? Umeonjeshwa wizi na umetokwa na fahamu!!! Acha kutudanganya maana baada ya 2015 jiandae kutoka UK na kuja Ukonga gerezani kwa wizi wa mali za Umma
Ndugu zabguni
Leo nimetumia muda mwingi sana kujiuliza na bora zaidi kwa vituko kati ya chadem na ze comedi

Kwa kifupi nikwamba Chadema walishinda , na sababu ya ushindi wao ni kuwa wao wako real sio waigizaji hivyo basi , mtu akipigwa tofa lazima atoke damu, sio kupaka chilisosi kutuzuga

Ze comedi wao wana act tu hivyo ni rahisi kuchuja

NANI MWINGINE ATATIMULIWA?

JITAMBUE !
 
Hile michango tuliochangia kupitia tigo pesa m pesa ndio akamua kutuzuga kwa picha ya chopa uk kweli lema balaa rudisha mchango niliozowa sh 10000 yangu nyambafu
 
Back
Top Bottom