Chadema upepo wa kuvuna wanachama ccm umekwama wapi?

ZALEOLEO

Senior Member
Oct 11, 2011
116
18
Peopleeeeeees! Wiki kadhaa za karibuni nilikua kila nikifungua ukurasa huu nakutana na habari za diwani,wenyeviti na wanachama wa CCM wahamia CHADEMA! VP mavuno yameisha au?
 
Labda kama hufuatlii vyombo vya habari au unasoma UWAZI NA SANI
 
Peopleeeeeees! Wiki kadhaa za karibuni nilikua kila nikifungua ukurasa huu nakutana na habari za diwani,wenyeviti na wanachama wa CCM wahamia CHADEMA! VP mavuno yameisha au?
Tunahesabu mavuno then tunalima tena.
 
Madiwani wao wamegeuka kuwa maalbino maana ulinzi mpaka chooni utasikiaje sasa? Lakini wanatamani sana kupata sala ya toba au kusikimishwa.
 
Una haraka sana.
Flow ya wanaccm kujiunga na chadema ni kubwa bado.

Msako unaendelea
 
sio lazima watangaze kwamba wamerudisha kadi, ccm hawachelewi kusema wamekula hela ya chama
 
Back
Top Bottom