Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 121,947
- 95,237
Mtakonda kisa cdmZitto kama akikubali kufanya hivo nitamuona hamnazo kabisa. Kwa jinsi walivyomnanga kipindi kile afu Leo watake kuungana nae tena.?
Zitto usikubali kufanya huo ujinga hao wote walitaka upotee lakini ulipambana kiume sana hadi leo hii heshima imeanza kurudi.
In God we Trust