Precise Pangolin
JF-Expert Member
- Jan 4, 2012
- 13,001
- 6,659
Wewe endelea kulala na huyo beki tatu au anakuboa unajifariji na jf?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
myopic and lack of credible critical mind, you are just among those who are taken by the wind, nothing on the ground for them to stand for Shardcole, you are dis-honouring the JF, cause JF it meant to have critical thinkers not short minded like you instead of presenting your opinion you bring your empty mind to an important discussions. Dont chew out the bites we need them for good minded people.shule za kata@work
Ule ulikuwa ni uigizaji na kila mmoja alipewa muda mchache aoneshe kipaji chake cha maigizo. Kwi kwi kwi teh teh teh.
CSS - Chadema Star Search!
Kipi zaidi ya maigizo kilichokuwepo pale, ipi ni hoja ya maana iliyo-ongelewa, sijaiona!
Waambie CUF au NCCM Mageuzi waitishe mkutano Jangwani, angalia mahudhurio then uje useme ni kuchoka kwa vijana au Chadema ina Nguvu.
shule za kata@work
kunachama kinafanya promosheni zaidi ya CCM na kuita wasanii mbalimbali na kubeba watu, ifike mahala watu mtumie vichwa kufikilia na siyo makalio unaishusha hadhi Jamiiforums.Umati uliojitokeza jana pale jangwani ulichangiwa na matangazo kupitia vyombo vya habari hilo halina ubishi na sidhani kama ule umati ulikuja kusikiliza sera mbadala
Sound like magamba on work!!
Mimi challenge kubwa ninayoiona kwa CDM ni njisi gani CDM inaweza kuwafanya hao vijana wakajiandikisha kwenye daftari la kudumu la wapiga kura. I might be wrong lakini I believe 50% of them hawako kwenye daftari la wapiga kura.
kama CDM watafanikiwa kuwashawishi hao vijana at least 90% of them wakajiandikisha kwenye daftari la kudumu la wapiga kura and 80% of them wakaweza ku vote 2015, make no mistake CCM kitakuwa chama cha upinzani.
Sioni kabla ya 2015 kama kunaweza kutokea chama kingine chenye hamasa/mvuto kama CDM na Pia sioni kama CCM hii iliyochoka inaweza kukidhi matarajio ya hao vijana.
Infact upepo wa kisiasa unawa favour CDM kama vile Obana na McCain. Ni CDM wenyewe jinsi gani watacheza karatu zao hasa kuwafanya hao vijana 2015 waweze kupiga kura.