CHADEMA, ukweli ni upi kuhusu Leticia Gati Musore? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CHADEMA, ukweli ni upi kuhusu Leticia Gati Musore?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mtanzania, Jan 25, 2012.

 1. M

  Mtanzania JF-Expert Member

  #1
  Jan 25, 2012
  Joined: May 4, 2006
  Messages: 4,818
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Nimesoma posts mbalimbali kuhusu uteuzi wa Cecilia Pareso kuwa mbunge wa viti maalum. Sina matatizo na kuteuliwa kwake maana naamini taratibu zote zimezingatiwa.

  Ila katika kupitia hoja mbalimbali, nimegundua kwamba kuna mkanganyiko katika maelezo ya CHADEMA kuhusu Leticia Gati Musore. Mkanganyiko huu unanipa wasiwasi kwamba ni kama kuna kampeni ya kumpaka matope huyu mama kwa kumsingizia kwamba asingeliondoka CHADEMA basi sasa ingelikuwa nafasi yake kuteuliwa kuwa mbunge kwasababu aliwekwa nafasi ya 26.

  Maelezo kama hayo yamerudiwa sehemu mbalimbali lakini ukisoma list ya majina ya CHADEMA kama yalivyotumwa na Dr. Kitila ambaye ndiye aliongoza mchakato wa kupanga majina hayo, jina la Musore liko namba 29 likiwa nyuma ya Pareso ambaye alishika nafasi ya 27.

  Je haya ya kwamba huyu mama aliwekwa nafasi ya 26 na angelikuwa mbunge yanatoka wapi? Kama si kweli inakuwaje viongozi wote wa CHADEMA walioko hapa wanaona ni sawa kukaa kimya na kuacha kusahihisha makosa haya ambayo kwa kiasi kikubwa ni kama yana nia ya kumchafua huyo mama?

  Tafadhali wekeni taarifa sahihi kuhusu huyu mama kama ni kweli alikuwa namba 26 au la.
   
 2. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #2
  Jan 25, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 180
  Kwenye hiyo list yako nani yupo namba 26?
   
 3. Kitila Mkumbo

  Kitila Mkumbo Verified User

  #3
  Jan 25, 2012
  Joined: Feb 25, 2006
  Messages: 3,347
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  Ukweli ni kwamba mama Musore alikuwa Na 29 na hivyo hata angekuwepo cdm asingekuwa yeye!
   
 4. Sikonge

  Sikonge JF-Expert Member

  #4
  Jan 25, 2012
  Joined: Jan 19, 2008
  Messages: 11,502
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  Nafikiri kutoka listi ya Dr. Kitila Mkumbo, kama hajabadili basi huo ndiyo ukweli. Asante kwa kuliona na kusahihisha.

   
 5. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #5
  Jan 25, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 180
  Pareso kumbe ndiye aliyestahili. Thanks Kitila. But I'm a bit in doubt na hii category, watu wanaweza kuuana.
   
 6. MAMA POROJO

  MAMA POROJO JF-Expert Member

  #6
  Jan 25, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 4,966
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  kumbe dada yetu wa karatu Cecilia alimpiku Leticia. vigezo mbona vinafichwa viweke wazi basi na sisi tuvione na kupima kama vilikaa vema
   
 7. MAMA POROJO

  MAMA POROJO JF-Expert Member

  #7
  Jan 25, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 4,966
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  kwa hiyo Kitila anakili kwamba kilichomwondoa Leticia chadema ni kukosa ubunge wa viti maalum!!!!!!!!!!!!! kama ndivyo basi na Leticia tungemsikia upande wake kama alikuwa na sababu hiyo moja tu
   
 8. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #8
  Jan 25, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 180
  Dada wa Karatu ndiye aliyestahili kulingana na format iliyotumika, kwakuwa yeye ndiye aliyeshika na.26. Kwenye list ukimtoa Mdee ambaye ameshinda kwenye jimbo anakuwa wa 26.
   
 9. MAMA POROJO

  MAMA POROJO JF-Expert Member

  #9
  Jan 25, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 4,966
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  Binti wa Ndesamburo na dada yetu Lucy Owenya naona ndiye alikuwa namba moja. Big up
   
 10. MAMA POROJO

  MAMA POROJO JF-Expert Member

  #10
  Jan 25, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 4,966
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  Kitila Mkumbo turushie basi hapa Jf na vigezo vilivyotumika kwani majina pekee hayatoi mwanga wa kutosha
   
 11. M

  Mtanzania JF-Expert Member

  #11
  Jan 25, 2012
  Joined: May 4, 2006
  Messages: 4,818
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Mkuu Kitila,

  Asante sana kwa clarification yako. Hicho ndio kinatakiwa; hakuna haja ya kuingiza propaganda kwenye kila jambo. Huyo mama amehama CHADEMA; ametumia uhuru wake na mwache aendelee na siasa huko alikohamia. Ni bora hapa kwasasa tukaongelea huyu mteuliwa mpya.

  Nafikiri wale waliokuwa wanatoa taarifa zisizo za ukweli kuhusu huyo mama wameelewa pia na wataacha kufanya hivyo.
   
 12. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #12
  Jan 25, 2012
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Kaka Kitilia Mkumbo, umebadika majina na kuyapa namba ungejitahidi kutuwekea na vigezo gani mmetumia kuwapata hao wabunge!
   
 13. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #13
  Jan 25, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 180
  isome tena hii thread vizuri
   
 14. K

  Keil JF-Expert Member

  #14
  Jan 25, 2012
  Joined: Jul 2, 2007
  Messages: 2,214
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Mkuu Mtanzania,

  Sijakuona siku nyingi sana, kimya chako kilinifanya nipate mashaka kidogo. Nitakutafuta.
   
 15. P

  Phillemon Mikael JF Gold Member

  #15
  Jan 25, 2012
  Joined: Nov 5, 2006
  Messages: 8,848
  Likes Received: 2,423
  Trophy Points: 280
  You have a point mutu ...hili jambo nimelitafakari sana....na nimeridhika kuwa kwenye katiba mpya ,

  1. Hivi viti vifutwe
  2. Tune na mfumo mpya wa viti maalum utakaoshirikisha kura za wananchi,kwa mfano ...kila mkoa upewe ratio ya viti maalum ....wabunge watapatikana kwa kura za wazi za maoni baada ya kuwa wamepitishwaa na chama( hapa ni muhimu ....ili kupata Wenye sifa...mfano ukiangalia quality ya wabunge wa viti maalum ea Chadema ipo juu ya wote kwa kuwa walisema wawe na vigezo...haitakuwa halali kutumia kodi za wananchi kupeleka wabunge wa viti maalum kwa kuangalia kigezo cha umaarufu pekee ni muhimu wawe na elimu......Anayejionaa maarufu na Hana elimu apambane jimboni)

  Kuhusu USALAMA wa Hawa wabunge nakubali kuwa huu mtindoo wa kuweka list .....ndefu ...ambayo mTu anajuwa akipungua mmoja kwa sababu yeyote...Kama katiba inavyoelezaa aTafuata yeye sio mzuri.....bora hata tuseme akipungua mmoja tume ingekuwa inapeleka majina 10 kwenye chama yapigiwe kura ya maoni na wanachama upya ....hii ya ku guarantee...huko mbele ya safari wapo watakaodhuriana....tushikuru kwa sasa hatuna watu wa nia mbaya...
  Pia haya majina yakishakabidhiwa tume yabaki kuwa TOP SECRET.
   
 16. Indume Yene

  Indume Yene JF-Expert Member

  #16
  Jan 25, 2012
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 2,932
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  1.Lucy Fidelis Owenya
  2. Esther Nicholas Matiko
  3. Mhonga Said Ruhwanya
  4. Anna MaryStella John Mallac
  5. Halima James Mdee
  6. Paulina Philipo Gekul
  7. Conjesta Leos Rwamlaza
  8. Susan Kiwanga
  9. Grace Sindato Kiwelu
  10. Susan Lyimo
  11. Regia Mtema
  12. Christowaja Mtinda
  13. Anna Valerian Komu
  14. Mwanamrisho Abama
  15. Joyce Mukya
  16. Leticia Mageni Nyerere
  17. Naomi Kaihula
  18. Chiku Abwao
  19. Rose Kamil Sukum
  20. Christina Lissu Mughiwa
  21. Raya Ibrahim Hamisi
  22. Philipa Geofrey Mturano
  23. Mariam Salum Msabaha
  24. Rachel Mashishanga Robert
  25. Sabrina Hamza Sungura
  26. Rebecca Michael Mngodo
  27. Cecilia Daniel Pareso
  28. Subira Shabani Waziri
  29.
  Leticia Gati Musore
  30.Helen John Kayanza
  31. Rosana Osemu Chapita
  32. Mona Shomary Bitakwate
  33. Evarim Adrian Mpangama
  34. Asha Sudi Kayumba
  35. Hija Rashid Wazee
  36. Mary James Martin
  37. Sophia Hebron Mwakagenda
  38. Bupe Odeni Kyambika
  39. Magreth Thadei Mangowi
  40. Esther Cyprian Daffi

  Wakuu, hilo jina lenye bold nyekundu lina uhusiano wowote na Mh. Pinda?
   
 17. Wa Kwilondo

  Wa Kwilondo JF-Expert Member

  #17
  Jan 25, 2012
  Joined: Sep 15, 2007
  Messages: 1,083
  Likes Received: 136
  Trophy Points: 160
  hakuna uhusiano na Mh Mizengo
   
 18. Kitila Mkumbo

  Kitila Mkumbo Verified User

  #18
  Jan 26, 2012
  Joined: Feb 25, 2006
  Messages: 3,347
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  Niliwahi kubandika vigezo hapa. Hata hiyo nabandika tena ili kuwakumbusha. Vyama vya siasa ni mali ya umma na umma una haki ya kujua na kujulishwa.

  [FONT=&quot]Vigezo vya uteuzi wa wabunge wa viti maalumu kupitia CHADEMA 2010-2015[/FONT]
  [TABLE="class: MsoNormalTable"]
  [TR]
  [TD="width: 40"]
  [FONT=&quot]Na[/FONT]
  [/TD]
  [TD="width: 425"]
  [FONT=&quot]Kigezo[/FONT]
  [/TD]
  [TD="width: 113"]
  [FONT=&quot]Alama[/FONT]
  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="width: 40"]
  [FONT=&quot]1.[/FONT]
  [/TD]
  [TD="width: 425"]
  [FONT=&quot]Elimu[/FONT]
  [/TD]
  [TD="width: 113"]
  [FONT=&quot]10[/FONT]
  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="width: 40"] [FONT=&quot]1.1[/FONT]
  [/TD]
  [TD="width: 425"] [FONT=&quot]Shahada ya Uzamivu (PhD)[/FONT]
  [/TD]
  [TD="width: 113"] [FONT=&quot]10[/FONT]
  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="width: 40"] [FONT=&quot]1.2[/FONT]
  [/TD]
  [TD="width: 425"] [FONT=&quot]Shahada ya Uzamili (Masters Degree)[/FONT]
  [/TD]
  [TD="width: 113"] [FONT=&quot]8[/FONT]
  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="width: 40"] [FONT=&quot]1.3[/FONT]
  [/TD]
  [TD="width: 425"] [FONT=&quot]Shahada ya Kwanza/Stashahada ya Juu (Bachelors Degree/Advanced Diploma)[/FONT]
  [/TD]
  [TD="width: 113"] [FONT=&quot]6[/FONT]
  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="width: 40"] [FONT=&quot]1.4[/FONT]
  [/TD]
  [TD="width: 425"] [FONT=&quot]Stashahada/Kidato cha Sita (Diploma/Form Six)[/FONT]
  [/TD]
  [TD="width: 113"] [FONT=&quot]4[/FONT]
  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="width: 40"] [FONT=&quot]1.5[/FONT]
  [/TD]
  [TD="width: 425"] [FONT=&quot]Astashahada/Kidato cha Nne (Certificate/Form 4)[/FONT]
  [/TD]
  [TD="width: 113"] [FONT=&quot]2[/FONT]
  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="width: 40"] [FONT=&quot]1.5[/FONT]
  [/TD]
  [TD="width: 425"] [FONT=&quot]Darasa la Saba (Std VII)[/FONT]
  [/TD]
  [TD="width: 113"] [FONT=&quot]1[/FONT]
  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="width: 40"] [FONT=&quot]1.6[/FONT]
  [/TD]
  [TD="width: 425"] [FONT=&quot]Chini ya Darasa la Saba (Below Std VII)[/FONT]
  [/TD]
  [TD="width: 113"] [FONT=&quot]0[/FONT]
  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="width: 40"]
  [FONT=&quot]2[/FONT]
  [/TD]
  [TD="width: 425"]
  [FONT=&quot]Uzoefu wa uongozi wa kisiasa[/FONT]
  [/TD]
  [TD="width: 113"]
  [FONT=&quot]10[/FONT]
  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="width: 40"] [FONT=&quot]2.1[/FONT]
  [/TD]
  [TD="width: 425"] [FONT=&quot]Uzoefu wa kibunge[/FONT]
  [/TD]
  [TD="width: 113"] [FONT=&quot]10[/FONT]
  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="width: 40"] [FONT=&quot]2.2[/FONT]
  [/TD]
  [TD="width: 425"] [FONT=&quot]Uzoefu kitaifa (BAWACHA, n.k)[/FONT]
  [/TD]
  [TD="width: 113"] [FONT=&quot]8[/FONT]
  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="width: 40"] [FONT=&quot]2.3[/FONT]
  [/TD]
  [TD="width: 425"] [FONT=&quot]Uzoefu katika ngazi ya mkoa/aliyewahi kuchaguliwa kuwa diwani/aliyewahi kuchaguliwa katika ngazi ya serikali ya mtaa/kijiji[/FONT]
  [/TD]
  [TD="width: 113"] [FONT=&quot]6[/FONT]
  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="width: 40"] [FONT=&quot]2.4[/FONT]
  [/TD]
  [TD="width: 425"] [FONT=&quot]Uzoefu katika ngazi ya wilaya/aliyewahi kuwa diwani wa viti maalumu[/FONT]
  [/TD]
  [TD="width: 113"] [FONT=&quot]4[/FONT]
  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="width: 40"] [FONT=&quot]2.5[/FONT]
  [/TD]
  [TD="width: 425"] [FONT=&quot]Uzoefu katika ngazi ya kata[/FONT]
  [/TD]
  [TD="width: 113"] [FONT=&quot]2[/FONT]
  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="width: 40"] [FONT=&quot]2.6[/FONT]
  [/TD]
  [TD="width: 425"] [FONT=&quot]Uzoefu katika ngazi ya kijiji/tawi[/FONT]
  [/TD]
  [TD="width: 113"] [FONT=&quot]1[/FONT]
  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="width: 40"]
  [FONT=&quot]3[/FONT]
  [/TD]
  [TD="width: 425"]
  [FONT=&quot]Uzoefu wa uongozi nje ya siasa (km: katika asasi za kiraia, vyama vya wafanyakazi, taasisi za serikali, n.k.)[/FONT]
  [/TD]
  [TD="width: 113"]
  [FONT=&quot]5[/FONT]
  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="width: 40"]
  [FONT=&quot]4[/FONT]
  [/TD]
  [TD="width: 425"]
  [FONT=&quot]Mgombea ubunge katika jimbo la uchaguzi[/FONT]
  [/TD]
  [TD="width: 113"]
  [FONT=&quot]10[/FONT]
  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="width: 40"] [FONT=&quot]4.1[/FONT]
  [/TD]
  [TD="width: 425"] [FONT=&quot]Katika jimbo la rangi nyekundi (Red Constituency)[/FONT]
  [/TD]
  [TD="width: 113"] [FONT=&quot]10[/FONT]
  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="width: 40"] [FONT=&quot]4.2[/FONT]
  [/TD]
  [TD="width: 425"] [FONT=&quot]Katika jimbo la rangi ya bluu (Blue Constituency)[/FONT]
  [/TD]
  [TD="width: 113"] [FONT=&quot]8[/FONT]
  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="width: 40"] [FONT=&quot]4.3[/FONT]
  [/TD]
  [TD="width: 425"] [FONT=&quot]Katika jimbo la rangi nyeupe (White Constituency)[/FONT]
  [/TD]
  [TD="width: 113"] [FONT=&quot]6[/FONT]
  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="width: 40"] [FONT=&quot]4.4[/FONT]
  [/TD]
  [TD="width: 425"] [FONT=&quot]Katika jimbo vumbi (Dust Constituency)[/FONT]
  [/TD]
  [TD="width: 113"] [FONT=&quot]2[/FONT]
  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="width: 40"]
  [FONT=&quot]5[/FONT]
  [/TD]
  [TD="width: 425"]
  [FONT=&quot]Mchango wa hali na mali katika operations za chama na kampeni zinazoendelea[/FONT]
  [/TD]
  [TD="width: 113"]
  [FONT=&quot]10[/FONT]
  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="width: 40"] [FONT=&quot]5.1[/FONT]
  [/TD]
  [TD="width: 425"] [FONT=&quot]Daraja la I [/FONT]
  [/TD]
  [TD="width: 113"] [FONT=&quot]10[/FONT]
  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="width: 40"] [FONT=&quot]5.2[/FONT]
  [/TD]
  [TD="width: 425"] [FONT=&quot]Daraja la II[/FONT]
  [/TD]
  [TD="width: 113"] [FONT=&quot]8[/FONT]
  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="width: 40"] [FONT=&quot]5.3[/FONT]
  [/TD]
  [TD="width: 425"] [FONT=&quot]Daraja la III[/FONT]
  [/TD]
  [TD="width: 113"] [FONT=&quot]6[/FONT]
  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="width: 40"] [FONT=&quot]5.4[/FONT]
  [/TD]
  [TD="width: 425"] [FONT=&quot]Daraja la IV[/FONT]
  [/TD]
  [TD="width: 113"] [FONT=&quot]4[/FONT]
  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="width: 40"] [FONT=&quot]5.5[/FONT]
  [/TD]
  [TD="width: 425"] [FONT=&quot]Daraja la V[/FONT]
  [/TD]
  [TD="width: 113"] [FONT=&quot]2[/FONT]
  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="width: 40"]
  [FONT=&quot]6[/FONT]
  [/TD]
  [TD="width: 425"]
  [FONT=&quot]Umri katika chama[/FONT]
  [/TD]
  [TD="width: 113"]
  [FONT=&quot]5[/FONT]
  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="width: 40"] [FONT=&quot]6.1[/FONT]
  [/TD]
  [TD="width: 425"] [FONT=&quot]Zaidi ya miaka 10[/FONT]
  [/TD]
  [TD="width: 113"] [FONT=&quot]5[/FONT]
  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="width: 40"] [FONT=&quot]6.2[/FONT]
  [/TD]
  [TD="width: 425"] [FONT=&quot]Miaka 5-10[/FONT]
  [/TD]
  [TD="width: 113"] [FONT=&quot]4[/FONT]
  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="width: 40"] [FONT=&quot]6.3[/FONT]
  [/TD]
  [TD="width: 425"] [FONT=&quot]Miaka 2-4[/FONT]
  [/TD]
  [TD="width: 113"] [FONT=&quot]3[/FONT]
  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="width: 40"] [FONT=&quot]6.3[/FONT]
  [/TD]
  [TD="width: 425"] [FONT=&quot]Chini ya miaka 2[/FONT]
  [/TD]
  [TD="width: 113"] [FONT=&quot]2[/FONT]
  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="width: 40"] [FONT=&quot]6.4[/FONT]
  [/TD]
  [TD="width: 425"] [FONT=&quot]Chini ya mwaka 1[/FONT]
  [/TD]
  [TD="width: 113"] [FONT=&quot]1[/FONT]
  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="width: 40"]
  [FONT=&quot] [/FONT]
  [/TD]
  [TD="width: 425"]
  [FONT=&quot]Jumla ya Alama[/FONT]
  [/TD]
  [TD="width: 113"]
  [FONT=&quot]50[/FONT]
  [/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]
   
 19. k

  kanyanga Senior Member

  #19
  Jan 26, 2012
  Joined: Jul 15, 2011
  Messages: 110
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Songela Zigizigi Mtani, umeua hapo nilipo bold red manake kuna magamba walishaanza kuleta maneno yao Oh Bibie Mh.Mupya ana uhusiano na Dr. wa Ukweli WPS.Wakati mwingine Wanyiramba mnakuwa kama Baba zenu original.
   
 20. Kashaijabutege

  Kashaijabutege JF-Expert Member

  #20
  Jan 26, 2012
  Joined: Oct 20, 2010
  Messages: 2,699
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Safi sana.

  By the the way,
  1.What do the colours mean katika majimbo ya uchaguzi?
  2. Madaraja ya michango ya hali na mali yanamaanisha nini?

  Ahsante Dr.
   
Loading...