CHADEMA: Ukimya wa Serikali madai ya ripoti ya IMF (hali ya uchumi) kutochapishwa

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Mar 9, 2015
14,243
34,899
CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO (CHADEMA)

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI NA UMMA

KUHUSU

UKIMYA WA SERIKALI MADAI YA RIPOTI YA IMF (HALI YA UCHUMI) KUTOCHAPISHWA

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimeshtushwa na ukimya wa Serikali hasa kupitia Msemaji Mkuu wa Serikali, Msemaji wa Ikulu na Msemaji wa Wizara ya Fedha na Uchumi, kufuatia madai mazito ya Shirika la Fedha Duniani (IMF) kuwa Serikali ya Tanzania haijaruhusu uchapishaji wa Ripoti ya Hali ya Uchumi nchini, jambo ambalo ni kuvunja matakwa ya Kifungu cha IV cha uanachama wa shirika hilo.

Madai hayo yaliyoanza kusambaa Aprili 19, mwaka huu, katika mitandao ya kijamii na baadae kuripotiwa na vyombo vya habari kadhaa vya kimataifa, yanatokana na taarifa iliyopo katika tovuti ya IMF, ikidai bodi ya shirika hilo, imekamilisha ripoti hiyo tangu Machi 18, mwaka huu, baada ya maofisa wa IMF kutembelea Tanzania kwa ajili ya kufanya uchunguzi na uchambuzi wao wa hali ya uchumi nchini, ziara ambayo ilihusisha vikao na Serikali pamoja na maofisa wa Benki Kuu.

Kupitia taarifa hii, Chadema inatamka ifuatavyo;

1. Msemaji Mkuu wa Serikali, Msemaji wa Ofisi ya Rais Ikulu na Msemaji wa Wizara ya Fedha na Uchumi kujitokeza hadharani na kutoa taarifa kuhusu madai hayo ili kuisafisha nchi yetu na wingu zito kuwa kuna mkwamo kwenye mwenendo wa masuala ya uchumi na sera za fedha na kwamba kuna masuala Serikali haitaki yajulikane iwapo ripoti hiyo itachapishwa na kuwekwa hadharani kwa vyombo vya habari na umma.

2. Serikali iruhusu mara moja IMF iweke ripoti hiyo hadharani.

3. Serikali, kupitia kwa wasemaji hao wakiri iwapo ripoti inayodaiwa kuvujishwa kwenye mitandao ya vyombo vya habari vya kimataifa ni halisi au la.

4. Serikali kwa kuwa nayo inayo nakala ya ripoti hiyo, iweke wazi kwa Watanzania iwapo IMF itachelewa kufanya hivyo.

Kwa mujibu wa kifungu namba IV cha makubaliano ya uanachama wa IMF, ambapo Tanzania ni mwanachama tangu mwaka 1962, shirika hilo linaruhusiwa kufanya uchunguzi na uchambuzi wa hali ya uchumi kwa nchi wanachama kwa maofisa wa shirika kufanya ziara katika nchi husika, baada ya vikao na Serikali na Benki Kuu, maofisa hao hurejea na kuandaa ripoti na kuiwasilisha Makao Makuu ya IMF kwa ajili ya bodi ya shirika hilo kuipitia

Taarifa hiyo inayodaiwa haijakubaliwa kuchapishwa inajulikana kama 'Ripoti ya Majadiliano ya Kifungu cha IV' kwa sababu ni utekelezaji wa masharti ya kifungu husika ambapo shirika hilo kila mwaka hufanya uchunguzi na uchambuzi wa mwenendo na hali ya uchumi, sera za kifedha kwa kila nchi mwanachama, mchakato ambao huhusisha majadiliano ya kina kati ya timu ya wachumi kutoka IMF ambao hukutana na Serikali na Maofisa wa Benki Kuu. Ujumbe wa IMF pia hukutana na wabunge, wawakilishi jumuia ya wafanyabiashara, vyama vya wafanyakazi na asasi za kiraia.

Kupitia kifungu hicho cha IV, nchi husika inapojiunga na IMF inakuwa imekubali sera zake za kiuchumi na kifedha, zitafuatiliwa na kuchunguzwa na jamii ya kimataifa, kwa sababu nchi hiyo inakuwa imetoa uhakika kuwa sera zake za uchumi na fedha zinaweka mazingira yanayotabirika vizuri kwa ajili ya ukuaji wa uchumi, kudhibiti mfumuko wa bei, kuepuka kufanya udanganyifu katika sera ya ubadilishaji fedha kwa ajili ya kujinufaisha na ushindani usiokuwa sawa na kutoa taarifa za uchumi kwa IMF ili kuhakikisha mfumo wa kiuchumi na kifedha wa nchi husika unatekelezeka.

Kwa mujibu wa kifungu hicho, ujumbe wa IMF hurejesha taarifa kwa Bodi Kuu ya IMF Makao Makuu ambayo nayo huwajibika kutoa maoni yake kwa serikali ikibainisha madhaifu ili kuiepusha nchi na anguko la kiuchumi. Kisha huchapisha ripoti hiyo na kutoa taarifa kwa vyombo vya habari, baada ya kupata ruhusa kutoka kwa serikali ya nchi husika, jambo ambalo Serikali ya Tanzania inadaiwa haijakubali lifanyike.

Baadhi ya vyombo vya habari vilivyoripoti kuhusu taarifa hiyo ya IMF inayodai kuwa Serikali ya Tanzania haijakubali kuchapishwa kwa ripoti hiyo, vimeenda mbali na kudai kuwa hatua hiyo huenda ikaathiri ushirikiano na nchi wahisani, mashirika mbalimbali na wawekezaji katika maeneo ya mikopo, uwekezaji, misaada na ufadhili kwa ajili ya maendeleo na ustawi wa nchi yetu.

Chadema imesikitishwa na kushtushwa na ukimya wa Serikali katika madai haya mazito, ambayo yanahusisha mojawapo ya maeneo ambayo Rais John Magufuli amekuwa akiyapigia kelele kuwa hayaendi sawa katika utawala wake, eneo la uwekezaji, huku akijinasibu kuwa uchumi uko imara. Kwa vyovyote vile ukimya huu wa wasemaji husika si ishara njema na unayapatia nguvu madai ya IMF na hivyo Serikali haiwezi kukwepa mashambulizi juu ya mjadala unaoendelea mitandaoni kuwa kuna mdororo kwenye hali ya uchumi wa nchi yetu na sera za masuala ya fedha haziko sawa na kwamba kuna kitu kinafichwa.

Imetolewa leo Aprili 22, 2019 na

Tumaini Makene
Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano
CHADEMA
 
Maisha kutapatapa mkijaribu kutapatapa Kiki lakini mwisho kuanzia pua tu.

Ukiona kimya ujue wanapanga uongo mtakatifu. Na usishangae waziri wa fedha akabadilishwa ku-create impression!!
 
Mabeberu tu hao hawana jipya
 
Wamezoea kutudanganya na Takwimu zao za kupika, walisahau kuwa IMF ni baba lao.

Wahuni wa CCM wamekwama.
 
Wapo bize wanashusha Bendera za Chadema ,wanadhani ndio maadui zao,wamesahau CAG anasuburi majibu IMF nao wakakomaa,tusubiri hayo majibu kama yapo

Wanaogopa kuumbuka a viripoti uchwara vya wapiga debe wachumia tumbo vya vigazeti uchwara vya propaganda uchumi kukua kwa kasi,mtu kama funneral anajua nn kuhusu uchumi,walidhani wakisomesha no nao watabaki Salama.Akili mingi ni maanguko.
 
CAG kakamata shingo, IMF wameshika kisu, awamu hii kila.inapogusa inaambulia aibu tupu.

Madhara ya kupora ushindi wa mtu.

Kumbuka wana viporo vinasubiria majibu kuna waraka wa pasaka wa maaskofu, kuna waraka wa umoja wa ulaya,bunge la ulaya,hoja za Tundu Lissu,hoja za CAG hadi sasa hawana majibu ndo wataweza jibu hoja za wapiga kura?
 
Ukiona kimya ujue wanapanga uongo mtakatifu. Na usishangae waziri wa fedha akabadilishwa ku-create impression!!

Wampe Le profesele yule Swaiba wake na msajili waliyelamba nae jike kwa kumpiga Chura maalimu. Hio Kazi ataiweza aonyeshwe tu chumba kilichojaa waridi kama kile cha Bashiru Sudan
 
CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO (CHADEMA)

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI NA UMMA

KUHUSU

UKIMYA WA SERIKALI MADAI YA RIPOTI YA IMF (HALI YA UCHUMI) KUTOCHAPISHWA

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimeshtushwa na ukimya wa Serikali hasa kupitia Msemaji Mkuu wa Serikali, Msemaji wa Ikulu na Msemaji wa Wizara ya Fedha na Uchumi, kufuatia madai mazito ya Shirika la Fedha Duniani (IMF) kuwa Serikali ya Tanzania haijaruhusu uchapishaji wa Ripoti ya Hali ya Uchumi nchini, jambo ambalo ni kuvunja matakwa ya Kifungu cha IV cha uanachama wa shirika hilo.

Madai hayo yaliyoanza kusambaa Aprili 19, mwaka huu, katika mitandao ya kijamii na baadae kuripotiwa na vyombo vya habari kadhaa vya kimataifa, yanatokana na taarifa iliyopo katika tovuti ya IMF, ikidai bodi ya shirika hilo, imekamilisha ripoti hiyo tangu Machi 18, mwaka huu, baada ya maofisa wa IMF kutembelea Tanzania kwa ajili ya kufanya uchunguzi na uchambuzi wao wa hali ya uchumi nchini, ziara ambayo ilihusisha vikao na Serikali pamoja na maofisa wa Benki Kuu.

Kupitia taarifa hii, Chadema inatamka ifuatavyo;

1. Msemaji Mkuu wa Serikali, Msemaji wa Ofisi ya Rais Ikulu na Msemaji wa Wizara ya Fedha na Uchumi kujitokeza hadharani na kutoa taarifa kuhusu madai hayo ili kuisafisha nchi yetu na wingu zito kuwa kuna mkwamo kwenye mwenendo wa masuala ya uchumi na sera za fedha na kwamba kuna masuala Serikali haitaki yajulikane iwapo ripoti hiyo itachapishwa na kuwekwa hadharani kwa vyombo vya habari na umma.

2. Serikali iruhusu mara moja IMF iweke ripoti hiyo hadharani.

3. Serikali, kupitia kwa wasemaji hao wakiri iwapo ripoti inayodaiwa kuvujishwa kwenye mitandao ya vyombo vya habari vya kimataifa ni halisi au la.

4. Serikali kwa kuwa nayo inayo nakala ya ripoti hiyo, iweke wazi kwa Watanzania iwapo IMF itachelewa kufanya hivyo.

Kwa mujibu wa kifungu namba IV cha makubaliano ya uanachama wa IMF, ambapo Tanzania ni mwanachama tangu mwaka 1962, shirika hilo linaruhusiwa kufanya uchunguzi na uchambuzi wa hali ya uchumi kwa nchi wanachama kwa maofisa wa shirika kufanya ziara katika nchi husika, baada ya vikao na Serikali na Benki Kuu, maofisa hao hurejea na kuandaa ripoti na kuiwasilisha Makao Makuu ya IMF kwa ajili ya bodi ya shirika hilo kuipitia

Taarifa hiyo inayodaiwa haijakubaliwa kuchapishwa inajulikana kama 'Ripoti ya Majadiliano ya Kifungu cha IV' kwa sababu ni utekelezaji wa masharti ya kifungu husika ambapo shirika hilo kila mwaka hufanya uchunguzi na uchambuzi wa mwenendo na hali ya uchumi, sera za kifedha kwa kila nchi mwanachama, mchakato ambao huhusisha majadiliano ya kina kati ya timu ya wachumi kutoka IMF ambao hukutana na Serikali na Maofisa wa Benki Kuu. Ujumbe wa IMF pia hukutana na wabunge, wawakilishi jumuia ya wafanyabiashara, vyama vya wafanyakazi na asasi za kiraia.

Kupitia kifungu hicho cha IV, nchi husika inapojiunga na IMF inakuwa imekubali sera zake za kiuchumi na kifedha, zitafuatiliwa na kuchunguzwa na jamii ya kimataifa, kwa sababu nchi hiyo inakuwa imetoa uhakika kuwa sera zake za uchumi na fedha zinaweka mazingira yanayotabirika vizuri kwa ajili ya ukuaji wa uchumi, kudhibiti mfumuko wa bei, kuepuka kufanya udanganyifu katika sera ya ubadilishaji fedha kwa ajili ya kujinufaisha na ushindani usiokuwa sawa na kutoa taarifa za uchumi kwa IMF ili kuhakikisha mfumo wa kiuchumi na kifedha wa nchi husika unatekelezeka.

Kwa mujibu wa kifungu hicho, ujumbe wa IMF hurejesha taarifa kwa Bodi Kuu ya IMF Makao Makuu ambayo nayo huwajibika kutoa maoni yake kwa serikali ikibainisha madhaifu ili kuiepusha nchi na anguko la kiuchumi. Kisha huchapisha ripoti hiyo na kutoa taarifa kwa vyombo vya habari, baada ya kupata ruhusa kutoka kwa serikali ya nchi husika, jambo ambalo Serikali ya Tanzania inadaiwa haijakubali lifanyike.

Baadhi ya vyombo vya habari vilivyoripoti kuhusu taarifa hiyo ya IMF inayodai kuwa Serikali ya Tanzania haijakubali kuchapishwa kwa ripoti hiyo, vimeenda mbali na kudai kuwa hatua hiyo huenda ikaathiri ushirikiano na nchi wahisani, mashirika mbalimbali na wawekezaji katika maeneo ya mikopo, uwekezaji, misaada na ufadhili kwa ajili ya maendeleo na ustawi wa nchi yetu.

Chadema imesikitishwa na kushtushwa na ukimya wa Serikali katika madai haya mazito, ambayo yanahusisha mojawapo ya maeneo ambayo Rais John Magufuli amekuwa akiyapigia kelele kuwa hayaendi sawa katika utawala wake, eneo la uwekezaji, huku akijinasibu kuwa uchumi uko imara. Kwa vyovyote vile ukimya huu wa wasemaji husika si ishara njema na unayapatia nguvu madai ya IMF na hivyo Serikali haiwezi kukwepa mashambulizi juu ya mjadala unaoendelea mitandaoni kuwa kuna mdororo kwenye hali ya uchumi wa nchi yetu na sera za masuala ya fedha haziko sawa na kwamba kuna kitu kinafichwa.

Imetolewa leo Aprili 22, 2019 na

Tumaini Makene
Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano
CHADEMA
Okoeni saccos yenu,inakufa
 
Back
Top Bottom