CHADEMA/UKAWA tupeni majina Urais,mkisubiria segere la CCM wao wanafaidika na wavunja kanuni

DSN

JF-Expert Member
Feb 2, 2011
2,837
1,674
Mwendelezo wa ukosefu wa Presidential Buzz kwa CDM/UKAWA kumewapa CCM political mileage dhidi yao baada ya Wanaccm kufaidika na Makosa ya baadhi ya watia NIA wao wa nafasi ya URAIS.

Kwa makosa ya baadhi ya Wanaccm wenye nia ya kugombea URAIS mwaka 2015,kumewapa fursa CCM kutambaa pia na vichwani mwetu.

Ndio kusema munyu umekolea midomoni mwetu kuwa RAIS anatoka CCM no matter mtajwa sana si mlengwa wa nafasi hiyo ya URAIS wa Tanzania.

Je CDM /UKAWA mbona mmekubali kucheza segere la CCM all the way...ndio kusema amjastuka kuwa MKO kwenye SEGERE hilo na kwamba ile tembea ya FISI kusubilia MKONO wa MTU utadondoka ni NG'O audondoki mpaka wanafika kileleni kama Ng'ombe aliyeumia Machungoni anavyo dema kuludi zizini.

CDM/UKAWA Segere la CCM limewakolea!
 
DSN kumbe kuna CHADEMA/UKAWA na sio UKAWA. Uroho wa madaraka utawaua CHADEMA.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom