Zero Hours
JF-Expert Member
- Apr 1, 2011
- 12,943
- 18,665
Kwa hali ilivyo sasa, UKAWA/CHADEMA hata wakiweka jiwe kama mgombea urais uchaguzi mkuu 2020 lazima wamshinde tu Magufuli.
Tatizo linakuja kwenye wizi wizi wizi. Tena huu hautakuwa "wizi" bali "ujambazi" wa kura. Huu ujambazi unahitaji mjipange mapema. Mkiendekeza lelemama kama za 2015, tena hata viti vya ubunge vitapungua.
Huyu wa sasa si wa mchezo mchezo. Kama JK alisema mkae mita 100 mbali na kituo cha kupiga kura, huyu cjui mtaambiwa ngapi.
Kama hamna mikakati yoyote tunaomba msitupotezee muda na pesa za umma. Mkijijua hamwezi kulinda kura acheni tupige pass ndefu, uchaguz mpaka 2025.