okonkwo jr
JF-Expert Member
- Jun 14, 2015
- 2,419
- 1,737
Amani iwe nanyi wapendwa wangu katika Bwana,
Twende kwenye hoja moja kwa moja, nimekuwa nikitafakari kuhusu mustakabali na uelekeo wa UKAWA & CHADEMA kuhusu kubadili sera zao kutoka kwenye UTAIFA KWANZA hadi kwenye UBINAFSI.
Kwanini nasema hivyo? Hii inatokana na muungano huu kujikita kwenye kutetea maovu na kupinga maendeleo na juhudi zinazofanywa na mheshimiwa Rais mtukufu John Magufuli na nadhani na pengine huenda UKAWA na CHADEMA wameamua kubadili mlengo wa siasa zao pengine kutokana na ujio wa Lowassa ambaye kwake utaifa kwanza hauna maana.
Hivyo ni bora sera zao kwa mwaka 2020 ziwe
i/ Kutetea mafisadi
ii/ Kupinga kila hatua ya maendeleo inayofanywa nchini
iii/ Kutokushiriki shughuli zote za bunge(kususia) nk.
Pengine kwa kufanya hivyo wananchi tutawaelewa zaidi.