Chadema UK,Baada ya Milton Keynes, sasa next stop ni LEICESTER! Hakuna kulala. 29/09/2012

Chilisosi

JF-Expert Member
Oct 19, 2008
3,051
747
Kama tulivyowaahidi, tutazungunga UK yote mpaka tuhakikishe kila mtanzania aishie UK anapata changamoto ya kujiunga na demokrasia ya ukweli na uhuru wa ukweli.
VUA GAMBA VAA GWANDA UGHAIBUNI.
Tutaingia LEICESTER 29/09/2012
m4c+frm+blog.jpg
 
Hiyo mikutano yenu kwenye Pubs ni noma, hamnunui hata pint to ease the situation!
Tusikie basi michango ya wahindi hapo Leicester maana wapo wengi sana.Kwa wasomi Loughborough hampati kitu pale pengine mwende Pub nyingine Nottingham.
 
Kama tulivyowaahidi, tutazungunga UK yote mpaka tuhakikishe kila mtanzania aishie UK anapata changamoto ya kujiunga na demokrasia ya ukweli na uhuru wa ukweli.
VUA GAMBA VAA GWANDA UGHAIBUNI.
Tutaingia LEICESTER 29/09/2012
m4c+frm+blog.jpg

mnasema serikali ombaomba nanyi mnafanya nini
 
Jamani CHADEMA matawi ya Uingereza na Marekani kuna vichwa; wazee tunawakubali sana kwa juhudi zenye tija hizi.
 
Chadema Uk inaonekana wazi kwamba ni moto wa kuotea mbali. CCM matumbo hoi na kutapika juu. Lukosi hongera sana juhudi zako pamoja na viongozi wenzako.
 
hongereni sana lakini endapo wakianza ku-update daftari la wapiga kura vp mmejipanga wote kuja kujiandikisha? maana nijuavyo mimi serikali dhaifu itasema haina fedha ya kuwaandikisha mkiwa huko mbali..... na upigaji wa kura vipi? mtapigia hukohuko au bongo? maana tusianze kushangilia tunapata wanachama wapya kumbe ni wale wa miaka yote wasio na hulka ya kupiga kura
 
Chilisosi,
Sasa huko Leicester City. watanzania wengi ni wahindi sasa itakuaje.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu wangu majebere,

Hivi yule muhindi wa Chadema anaonekana kwenye vikao vya kamati kuu tu ni wa wapi?
 
speed ya CDM UK inanifurahisha go on makamanda! M4C mpaka kieleweke!
 
Wewe itabidi uanze kuchunguza kwanza wale wasomali na warundi wanaopanda na bastola majukwaani na wengine kutoleana bastola kwenye uchaguzi, bila kusahau walioleta rada, misumari ya TANESCO nk.
 
Wewe itabidi uanze kuchunguza kwanza wale wasomali na warundi wanaopanda na bastola majukwaani na wengine kutoleana bastola kwenye uchaguzi, bila kusahau walioleta rada, misumari ya TANESCO nk.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom