CHADEMA uchaguzi haujaisha hakikisha mnazoa viti viwili vya Mpanda

Geza Ulole

JF-Expert Member
Oct 31, 2009
58,768
78,437
Kwa maehsabu ya haraka inaelekea CUF wanawania kuongoza kambi ya upinzani wakiwa na fikra ya kuwa watashinda viti vinne vya visiwani na ukichanganya na vinne vya NCCR-Mageuzi na TLP; Wataweza kuunda serikali ya upinzani maana watakuwa na zaidi ya vya CHADEMA; ila nathani katiba inasema chama kinachopaswa kuunda serikali ya upinzani ni kile kilichopata kura zaidi ya 12% na nathani hapa CUF watashindwa kubadilisha hili! Na pia ni ushauri wa CHADEMA kuhakikisha viti vilivyokwapuliwa kiutata (10+) na CCM vinashughulikiwa mahakamani naona Mh Mpendazoe ameanza kuonyesha njia!
 
Mzee Arfi hawawezi kumtoa hata wangefanyaje.

Wakajaribu kwingine.
 
Issue si idadi ya wabunge wa cuf, idadi ya kura za wabunge wa cuf ni chache. Jimbo moja la pemba linaweza kuwa na wpiga kura 5,000. Mbunge akishinda kwa kura 3,000 si sawa na John Mnyiika aliyeshinda kwa kura 72,000. Ndio maana cuf walikuwa na wabunge 24 na chadema 22, cuf wameambilia viti 8 kwa 23 vya chadema. Hata wapate viti hivyo hawata fikia idadi ya kura za chadema.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom