Chadema twendeni majimboni tukahamasishe maendeleo huku serikali inahamasisha umasikini | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chadema twendeni majimboni tukahamasishe maendeleo huku serikali inahamasisha umasikini

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mzee wa miba, Dec 22, 2011.

?

Topic: Chadema twendeni majimboni tukahasishe maendeleo huku serikali inahamasisha umasikini

Poll closed Jan 21, 2012.
 1. JE NANI ZAIDI KATI YA CCM NA CHADEMA

  80.0%
 2. JE,MAGAMBA YAMESHAVULIWA AU BADO?

  80.0%
 3. JE,DR.SALIMU ANAWEZA KUPANBANA NA DR.SLAA 2015?

  60.0%
 1. mzee wa miba

  mzee wa miba JF-Expert Member

  #1
  Dec 22, 2011
  Joined: Dec 20, 2011
  Messages: 763
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ukweli uliobayana ni kwamba baada ya uchaguzi mkuu 2010 serikali yote ya CCM bado wanasherehekea ushindi kwani mpaka dakika hii hiyo nguvu mpya,kasi mpya na ari mpya ilikuwa ni misemo na tamathali za semi kwa ajili ya kuwarubuni wananchi ili wakipe kura chama hiki. Siyo ubishi baada ya miaka 50 hamsini ya uhuru TANU na CCM walithubutu,wakajaribu na tena wameshindwa vibaya sana na haijawahi kutokea chama kitawale miaka 50 na bado serikali inaendelea kukopa ili ihudumie wananchi wake.
  CDM TUAMUKE TWENDENI VIJIJINI VIJANA KWA WAZEE NA WABUNGE WA CHADEMA WOTE,NA MAKADA WOTE WALE TULIOFANIKIWA KUSOMA AGRICULTURE/ELIMU YA KUJITEGEMEA MASHULENI NA VYUONI TUFUNGUENI MASHAMBA YA MFANO KWA KUWEKA SAMADI,NA KUOTESHA KWA MISITARI. MVUA ZINAZONYESHA NI BARAKA HII NA SI MAAFA TUZITUMIENI,TUHAMASISHANENI WENYEWE KWA WENYEWE CHAMA NA SERIKALI NA WABUNGE WAO WANATAKA POSHO ZAIDI SISI TWENDENI VIJIJINI HAKUNA MUDA WA KUPOTEZA TUSHIKAMANE TUSISINZIE KAMA WAO.
  CCM WAMESHINDWA VIBAYA KABLA YA 2015
   
 2. Kinyungu

  Kinyungu JF-Expert Member

  #2
  Dec 22, 2011
  Joined: Apr 6, 2008
  Messages: 4,380
  Likes Received: 3,340
  Trophy Points: 280
  Mbona hiyo poll yako haieleweki? Nikitiki kibox cha kwanza kwa mfano au hata cha pili na cha tatu utawezaje kufanya conclusion ya swali lako?
   
 3. mmbangifingi

  mmbangifingi JF-Expert Member

  #3
  Dec 22, 2011
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 2,855
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  sahihi kabisa wafanye hivo sasa! hata mwenyekiti wa bavicha naona kimya nilidhani mara moja angeanza na kasi hii majimboni huko tunduru,masasi,newala nk
   
 4. Gwallo

  Gwallo JF-Expert Member

  #4
  Dec 22, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 2,320
  Likes Received: 840
  Trophy Points: 280
  Iweke Vizuri hii poll yako, ukiuliza nani zaidi kati ccm na cdm nikaweka tiki je utajuaje yupi ni zaidi?
   
 5. Gwallo

  Gwallo JF-Expert Member

  #5
  Dec 22, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 2,320
  Likes Received: 840
  Trophy Points: 280
  Mkuu umepiga hodi kweli?
   
Loading...