Chama changu CDM tufanye himahima tuwapige bao CUF, tumteke Dr. Bashir huyo ni karata turufu kuzoa kura za mafuriko Kanda ya Ziwa uchaguzi mkuu wa 2025. Viongozi wangu watukufu tulizeni akili, Dr Bashiru anafaa kwa vile ni muadilifu na mzalendo wa kweli.
Tusifanye makosa kumteua Tundu Lissu asiye na uchungu na nchi, pia ni kuwadi wa mabeberu aliyepoteza uzalendo kwa kitendo cha kuwaombea watoto wake uraia wa USA huku muda mwingi akiutumia kula bata huko Ulaya akiwatosa wanyaturu huko Ikungi.
Shimeshime, 2025 twende pamoja na Dr. Bashiru. Anatosha, aliyepikwa vya kutosha na Hayati Rais JPM.