Chadema tutaikumbuka kwa juhudi binafsi za wabunge hasa Dr Slaa, Zitto, Tundu Lissu na JJ Mnyika!

Nashukuru chadema kupita kwenye kipindi kigumu maana ndio nawenyewe wanabadilisha mbinu ya kufanya
 
Ili chama kifutike lazima kiwe na uhaba wa rasilimali watu jambo ambalo sijui umepimaje kwa Chadema ambacho rasilimali watu siyo tatizo!

Kama unapima uimara wa Chadema kwenye chaguzi hizi za kihuni zinazoendeshwa kwa ukiukwaji mkubwa wa sheria na katiba ya nchi basi utakuwa una tatizo la ufahamu au mahaba na ushabiki ndio unakufanya ufikie hitisho kama hilo

Chaguzi ambazo mwananchi siyo mwenye maamuzi kwenye sanduku la kura utakujaje na hitimisho la kijinga kama hilo
Taahira hilo mkuu achana nalo
 
Ulitaka wapewe nafasi wafanye siasa zipi? wazunguke kutueleza kwamb tuliwanukuu vibaya Lowassa sio fisadi? watueleze kwamba hawakuwahi kutueleza wangeffua shirika la ndege la serikali? wazunguke watuelee kwamba awakuwahi utuahidi kutujengea reli ya kisasa ya kati? haya ni baadhi ya mambo ambayo yaliwafanya watanzaniawawe na imani nao, yote leo yanafanyika wanabedha na kudhihaki mtanzania gani aliye timamu atawaelewa? na wafe tu.
Rubbish
 
Back
Top Bottom