CHADEMA Tusimame imara kuelekea Tarehe 26/11/2017.

Alexandry Nemesi

JF-Expert Member
Jun 7, 2014
1,494
568
Wakuu ,

Kuelekea Chaguzi ndogo Tarehe 26/11/2017,Mengi yanajiri ikiwa ni Mkakati wa CCM Kuaminisha umma kuwa inakubabalika .Mkakati huo unatekelezwa kwa kiwango ambacho hakijawahi kutokea katika siasa za Tanzania.

Tumeshuhudia wengi wakijiunga na CCM wakati huu,Kimsingi nikuwa malengo ni Uchaguzi wa Jumapili na ule wa Maji
mbo ya Longido na Singida Kaskazini ambao utatangazwa muda mfupi ujao kuanzia sasa.


Ndani ya saa 48 Kuanzia sasa Madiwani wapatao 12 ,Watahamia CCM pamoja na baadhi ya Viongoz
i.

Hivyo hatupaswi kutoka katika malengo yetu kwa aina hii ya Wanasiasa Maslahi wanaotumia haki yao ya Kikatiba.Tarehe 26/11/2017 Yunapaswa kuwnyamazisha kwa kuwezesha ushindi kwa Chama chetu.Tusikubali kucheza ngoma yao tuwatakie kila la heri wahusika huko waendako kisiasa.
 
CCM inanunua viongozi 12, Chadema kinapokea wanachama 300 kwa hiyari, nina imani Chadema bado kina mtaji mkubwa wa wapiga kura.
Tahadhari tuu na angalizo,MSISEME MMEIBIWA KURA MAANA MNAKUAGA MAFUNDI KABLA YA UCHAGUZI ILA BAADA YA UCHAGUZI LAWAMA KWENU.
 
Dah, kwahiyo CCM inanunua madiwani 12 kwa pesa, halafu wataitisha tena uchaguzi kwa kutumia kodi zetu? Usechu ulioje.
 
Back
Top Bottom