CHADEMA tuondoleeni wasiwasi huu kama kweli mtaweza kuongoza Tanzania.!

Ubarikiwe, wabarikiwe wazazi wako, wabarikiwe wote wanaokutakia mema! Wewe ni mmoja wa watanzania wachache sana wanaowafikiria wengine katika kupata mema ya nchi hii. Umeeleweka MTANZANIA & MZALENDO WA KWELI KWELI, bila ya shaka MBOWE NA DR SLAA wamekuelewa bara bara! Natamani kukurushia Tshs.50,000/= ili ununue angarau machungwa kwa afya yako nitakupataje????

Asante kwa pongezi zako,zitakuwa na thamani zaidi kwangu CDM wakifanyia kazi haya madai.
 
Mleta mada umenena vema! Ni vizuri kuchukia waasi na wanafiki mahali popote. Soon huyo muasi atawekwa wazi!

Mungu aendelee kukupa busara kama hizi.
 
fmpiganaji, Asante kwa mada nzuri ulioiandika kwa ustadi mkubwa.
Nafikiri kuwa sio chadema hawajalala usingizi wa hili linaloendelea kiasi cha kupuuza haya yanayoendelezwa na kina tuntemeke. Inawezekana kabisa kuwa inteligensia ya chama iko kazini kujaribu kufahamu ni kina nani hawa, wanafanya kazi zao kutokea wapi na nini malengo yao. Kama ilivyo kwa wachezaji wa mpira kuchezea timu fulani wakati yeye ni mpenzi wa timu tofauti inawezekana sana, kuwa kina tuntemeke wakawa ndani ya chama lakini malengo yao ni kukiuwa chama.

Inawezekana kabisa hawa wakawa wamepandikizwa (kama wapo ndani ya cdm) ili kutoa siri za chama nje, au kama sehemu tu ya kukipaka chama matope kwa minajili ya kufanikisha malengo ambayo wameajiriwa kwayo.

fmpiganaji, wanadamu tunatofautiana kwajinsi tulivyoumbwa na tamaa, kiburi na majivuno kiasi kwamba tumekuwa wagumu kukubaliana katika mambo ya msingi yanayofanywa na wale tuliowapa madara. Hili ndilo chanzo kikubwa cha migogoro ndani ya vyama. Hivyo, ni vyema kama chama kikafanya kila iwezekanavyo kuwatambua hawa wanaokichafua chama, wapewe nafasi ya kujitetea na kuelezeza "motive" zilizonyuma yao.

Ni ukweli suiopingika kuwa watu kama hawa hawezi kukosekana, ila ni wajibu wa inteligensia ya chama kuyafanyia kazi mapema iwezekanavyo ili kulinda imani ya wananchi kwa chama.
 
fmpiganaji nimeyasoma na kujaribu kuyatafakari haya uliyo ya andika nimegundua kitu kimoja, wewe na tumtemeke lengo lenu ni moja, nalo ni kwa kutumia huo ulioita uasi kuona viongozi wa cdm wanafarakana na kwa njia hiyo kuona chama hiki kinasambaratika au kupungua nguvu yake, sina hakika kuwa unajua au imetokea tu. ushauri wangu kwa hawa viongozi wa cdm ni kuendelea njia hii ya kuwapuuza watu kama hawa na pale inapobidi sana basi kutoa ufafanuzi kwa tuhuma watakazozitoa hawa wachawi. mchawi mpe mtoto akusaidie kulea. ushauri uliotolewa wa kuiga mfano wa cuf, nccr n.k umenishangaza kweli, nafikiri wao ndio wanatakiwa waige kutoka cdm.
 
Mnampa sifa tu huyo anayejiita TUTEMENTE, Kwani ingekuwa yupo kweli cdm basi ingekuwa kila siku tunawekewa copy za risiti na barua za kuthibitisha kashfa hizo, Mimi namuunga mkono mchangiaji mmoja aliyesema kuwa huyo mropokaji anayeendeshwa na hisia, Huyo mtu ni mwana-ccm na yupo kwa ajili ya kuzusha tu ndo maana habari hizo zipo hapa jf tu, ingekuwa ni kweli viongozi wa ccm wangezuka nchi nzima kusambaza hizo taarifa,Tuendelee kukiamini chama chetu makini
 
huyu tumtemeke hana nafasi yyt ndani ya cdm!ni mharibifu tu anaetumika na ccm,so akili kichwani,na viongozi wa cdm wachukue hatua ss inatosha kwa matope haya!
 
CDM kitampata tu kama yuko ndani ya chama, njia rahisi ya kumjua CDM msihangaike sana tumieni watu wa IT/information technology. watakueleza hadi mahali alipo

viva cdm
 
Tafadhilini wadau msipoteze imani na chama makini cdm, hiki kimetukomboa kifikra kuwa Tanzania bila ccm inawezekana, tena mara 110%. Maisha bora ya kila mtanzania yanawezekna bila ccm, na kuichagua ccm ni gharama kubwa na ndivyo watu walioichagua/kuiweka madarakani wanavuna walichopanda
 
Kumfahamu huyo sijui nani ni rahisi sana hasa kama yupo ndani ya vikao vya maamuzi ya chama.Sidhani kama mpaka sasa eti hajulikani ni nani!

Tuntemeke atakuwa either of the two ways;

1.Ni kiongozi ndani ya chama mwenye access na masuala ya uhasibu either kwa kufanya mwenyewe au kwa kusikia vikaoni au kuona nyaraka husika.

2.Mtu tu asiyehusika na ama na chadema kabisa au yupo chadema ila hana access na taarifa nyeti hasa za fedha yeye mwenyewe ila ana mtu wake ambaye anamvujishia habari hizo kwa maslahi ya kundi lao.

Sioni ni kwa namna gani Tuntemeke asiwepo kwenye moja kati ya haya makundi.Kwa mtazamo huo nina imani anafahamika yeye moja kwa moja (kama namba 1 ni sahihi) au mvujishaji wa habari kwake (kama namba 2 ni sahihi).

Time will tell
 
fmpiganaji
Chadema sio dini(kama unaamini hivyo). Hamia chama kingine ambacho hakina madudu ya namna hiyo. Kama unashawishika kuwa anayosema TUNTEMEKE yana ukweli,sasa kwa nini unahoji kwa nini kayaleta,mara anavujisha siri za chama. Kwa hiyo unaamini kuwa ufisadi ndani ya chama unatakiwa ufanyike kwa siri sana,na hata atakayebaini na yeye atunze siri hizo,na kizitoa whether secretly or publicaly anakuwa ni muasi! You were supposed to acknowledge TUNTEMEKE but instead you are trying to label him to fit your agenda!
Tuache uvivu wa kufikiri!
 
Last edited by a moderator:
fmpiganaji nimeyasoma na kujaribu kuyatafakari haya uliyo ya andika nimegundua kitu kimoja, wewe na tumtemeke lengo lenu ni moja, nalo ni kwa kutumia huo ulioita uasi kuona viongozi wa cdm wanafarakana na kwa njia hiyo kuona chama hiki kinasambaratika au kupungua nguvu yake, sina hakika kuwa unajua au imetokea tu. ushauri wangu kwa hawa viongozi wa cdm ni kuendelea njia hii ya kuwapuuza watu kama hawa na pale inapobidi sana basi kutoa ufafanuzi kwa tuhuma watakazozitoa hawa wachawi. mchawi mpe mtoto akusaidie kulea. ushauri uliotolewa wa kuiga mfano wa cuf, nccr n.k umenishangaza kweli, nafikiri wao ndio wanatakiwa waige kutoka cdm.

Huo ndiyo upeo wako wa kufikiri huna kosa.
 
Mkuu,
Chadema sio dini(kama unaamini hivyo). Hamia chama kingine ambacho hakina madudu ya namna hiyo. Kama unashawishika kuwa anayosema TUNTEMEKE yana ukweli,sasa kwa nini unahoji kwa nini kayaleta,mara anavujisha siri za chama. Kwa hiyo unaamini kuwa ufisadi ndani ya chama unatakiwa ufanyike kwa siri sana,na hata atakayebaini na yeye atunze siri hizo,na kizitoa whether secretly or publicaly anakuwa ni muasi! You were supposed to acknowledge TUNTEMEKE but instead you are trying to label him to fit your agenda!
Tuache uvivu wa kufikiri!

Wewe mtu wa CCM mjadala huu haukuhusu,waache wenye chama chao wajadili.Lengo langu ujumbe uwafikie viongozi na naamini wameupata.
 
[/QUOTE]
quote_icon.png
By MchukiaUonevu

Hili ndio tatizo lenu,mkiambiwa ukweli badala ya kujibu hoja mnawazaa kumuita kila mtu CCM.
 
quote_icon.png
By MchukiaUonevu
Mkuu,
Chadema sio dini(kama unaamini hivyo). Hamia chama kingine ambacho hakina madudu ya namna hiyo. Kama unashawishika kuwa anayosema TUNTEMEKE yana ukweli,sasa kwa nini unahoji kwa nini kayaleta,mara anavujisha siri za chama. Kwa hiyo unaamini kuwa ufisadi ndani ya chama unatakiwa ufanyike kwa siri sana,na hata atakayebaini na yeye atunze siri hizo,na kizitoa whether secretly or publicaly anakuwa ni muasi! You were supposed to acknowledge TUNTEMEKE but instead you are trying to label him to fit your agenda!
Tuache uvivu wa kufikiri!

Hili ndio tatizo lenu,mkiambiwa ukweli badala ya kujibu hoja mnawazaa kumuita kila mtu CCM.[/QUOTE]

Wewe ni mtu usiyeitakia CDM mafanikio hata siku moja na comments zako zote huku jamvini zinakuhukumu.Kaa kimya wanaohusika wazungumze
 
HUyu hana shida yoyote anatimiza kazi aliyopewa, ila watanzania hawadanganyiki kama zamani. Namtakia afya njema ili siku moja avune anachopanda sasa.
 
Kumfahamu huyo sijui nani ni rahisi sana hasa kama yupo ndani ya vikao vya maamuzi ya chama.Sidhani kama mpaka sasa eti hajulikani ni nani!

Tuntemeke atakuwa either of the two ways;

1.Ni kiongozi ndani ya chama mwenye access na masuala ya uhasibu either kwa kufanya mwenyewe au kwa kusikia vikaoni au kuona nyaraka husika.

2.Mtu tu asiyehusika na ama na chadema kabisa au yupo chadema ila hana access na taarifa nyeti hasa za fedha yeye mwenyewe ila ana mtu wake ambaye anamvujishia habari hizo kwa maslahi ya kundi lao.

Sioni ni kwa namna gani Tuntemeke asiwepo kwenye moja kati ya haya makundi.Kwa mtazamo huo nina imani anafahamika yeye moja kwa moja (kama namba 1 ni sahihi) au mvujishaji wa habari kwake (kama namba 2 ni sahihi).

Time will tell

Absolutely Correct!
 
Cha kufanya kwa viongozi wa chadema ni kumjibu huyu tuntemeke kwa kila kashfa au jambo atakaloleta na huo ndo utakuwa ukomavu wa kisiasa badala ya kumshushia matusi

Huyu dada Tuntemeke yupo kazini na hapa anaingia kwa id tofauti now and then, hebu pimeni aina shutuma anazozirusha,nyingi ni personal kuelekea kwa watu flani,chama hakiwezi kupoteza muda wa kupoteza kumjibu mtu ambae tayari tunamfahamu nia yake, ni sawa na ile habari ya chizi kuchukua nguo zako afu wewe umkimbize ukiwa uchi, tumwache yeye apige kelele sisi kazi, kama kuna tutakayoona yanafaa kujibu ndipo atajibiwa, otherwise let HER spin as much as SHE wishes!
 
Mnampa sifa tu huyo anayejiita TUTEMENTE, Kwani ingekuwa yupo kweli cdm basi ingekuwa kila siku tunawekewa copy za risiti na barua za kuthibitisha kashfa hizo, Mimi namuunga mkono mchangiaji mmoja aliyesema kuwa huyo mropokaji anayeendeshwa na hisia, Huyo mtu ni mwana-ccm na yupo kwa ajili ya kuzusha tu ndo maana habari hizo zipo hapa jf tu, ingekuwa ni kweli viongozi wa ccm wangezuka nchi nzima kusambaza hizo taarifa,Tuendelee kukiamini chama chetu makini
Mkuu tupo pamoja sana. Nimefuatilia sana post wanazoziweka juu ya kashfa za slaa lakini hata moja hakuna uthibitisho kwahyo huyu mtu hayupo ndani ya chama. Hivyo hili ni kundi lile la akina Ritz ambalo limekalia kueneza udini, na kutafuta chochote kitu ambacho wataweza kukishikilia ili waichafue CDM. Lakini mada zao hazina mshiko. Watanzania wa sasa sio wajinga kushindwa kutofautisha pumba na mchele hivyo ritz na kundi lake watashindwa tu
 
Back
Top Bottom