Kamanda Asiyechoka
JF-Expert Member
- Sep 13, 2020
- 3,166
- 4,581
Tumeshapanga kuwa hatutashiriki uchaguzi wowote ule mpaka tume huru ya uchaguzi ipatikane.
Sasa kama tunasajili wanachama kidijital tutajua vipi kama tumefanikiwa au la?
Maana ili kujua tuna mafanikio lazima tushiriki chaguzi ili kujua kama tunasapoti ya wapiga kura au hatuna kupitia wanachama wetu.
Tusipoteze muda kwa mbwembwe zisizo na maana