Chadema Tunasajili wanachama kidijital huku hatushiriki chaguzi ni kama tunapoteza muda

Kamanda Asiyechoka

JF-Expert Member
Sep 13, 2020
3,166
4,581
Tumeshapanga kuwa hatutashiriki uchaguzi wowote ule mpaka tume huru ya uchaguzi ipatikane.

Sasa kama tunasajili wanachama kidijital tutajua vipi kama tumefanikiwa au la?

Maana ili kujua tuna mafanikio lazima tushiriki chaguzi ili kujua kama tunasapoti ya wapiga kura au hatuna kupitia wanachama wetu.

Tusipoteze muda kwa mbwembwe zisizo na maana
 
Leo hii tz ikivamiwa jiulize raia watakuwa upande gani?

Serikali inayowachosha raia wake iko prone to collapse in either way, internally or externally.
 
..bila tume huru ya uchaguzi huwezi kujua mafanikio au mapungufu ya cdm digital.

..baada ya yaliyotokea 2016 to 2020 si sahihi kwa cdm kushiriki uchaguzi wowote kabla
,tume, na sheria zetu za uchaguzi, hazijafanyiwa mabadiliko makubwa, na ya kimsingi.
 
Sasa tutajua vipi kama kuna mafanikio kusajili wanachama?
 
Tumeshapanga kuwa hatutashiriki uchaguzi wowote ule mpaka tume huru ya uchaguzi ipatikane.

Sasa kama tunasajili wanachama kidijital tutajua vipi kama tumefanikiwa au la?

Maana ili kujua tuna mafanikio lazima tushiriki chaguzi ili kujua kama tunasapoti ya wapiga kura au hatuna kupitia wanachama wetu.

Tusipoteze muda kwa mbwembwe zisizo na maana
Wapiga kura tunao wengi lkn miaka yoote ccm wamekuwa wakiyageuza
 
..bila tume huru ya uchaguzi huwezi kujua mafanikio au mapungufu ya cdm digital.

..baada ya yaliyotokea 2016 to 2020 si sahihi kwa cdm kushiriki uchaguzi wowote kabla
,tume, na sheria zetu za uchaguzi, hazijafanyiwa mabadiliko makubwa, na ya kimsingi.
Kama hujamuelewa mleta mada ana agenda mbaya juu ya cdm.
 
Sasa tutajua vipi kama kuna mafanikio kusajili wanachama?

..kwa tume hii ya kihuni sio busara kushiriki uchaguzi.

..na harakati za kutafuta wanachama wapya, na ku retain wa zamani, lazima ziendelee hata kama cdm haishiriki chaguzi.
 
Tumeshapanga kuwa hatutashiriki uchaguzi wowote ule mpaka tume huru ya uchaguzi ipatikane.

Sasa kama tunasajili wanachama kidijital tutajua vipi kama tumefanikiwa au la?

Maana ili kujua tuna mafanikio lazima tushiriki chaguzi ili kujua kama tunasapoti ya wapiga kura au hatuna kupitia wanachama wetu.

Tusipoteze muda kwa mbwembwe zisizo na maana
Kama wapoteza mudaa, waweza wahi pale mtaa wa kijani chaapu Kwa haraka voo, wao hawapotezi
Muda.kwani msimamo wa chama ni kuwepo uchaguzi huru chini ya tume huru ndani ya katiba mpya.
 
Back
Top Bottom