Chadema tunaomba muwabane ccm ili wasiache nchi yetu juu ya mapipa watakapo toka madarakani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chadema tunaomba muwabane ccm ili wasiache nchi yetu juu ya mapipa watakapo toka madarakani

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by figganigga, Aug 16, 2012.

 1. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #1
  Aug 16, 2012
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,971
  Likes Received: 6,601
  Trophy Points: 280
  Cccm wameshaona uwezekano wa kushinda uchaguzi wa 2015 ni mdogo sana, hivyo wanaweza kutumia hii miaka mitatu iliyo baki kuirimbikizia mali na kufanya ya hovyo wakijua chaderma ndo itabeba msaraba mwaka 2015.
  Tunaomba viongozi wa chadema wahakikishe wanaibana vilivyo serikali iliyopo madarakani ili waache nchi yetu ikiwa na rasilimali zake ikiwemo wanyama, madini, vitega uchumi na fedha za kutosha.
  sio vizuri waache nchi ikiwa mfupa mtupu. hii ni pamoja na kurudisha mabilioni yaliyopo nje ya nchi.
  ni hayo tu. mia
   
Loading...