Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa youtube ni wangapi wana ingia?Mmmmmm hata YouTube live mmepigwa marufuku? Acha uongo
Wengi Sana ndio maana hata Lisu huhutubia taifa kupitia YouTube. Hata Nia ya kugombea aliitangazia YouTube na ikatangazwa kabisa kuwa mheshimiwa Lisu atahutubia taifa kupitia YouTube , Facebook na Twitter akijua fika kuwa hiyo message itakifikia taifa zimaSasa youtube ni wangapi wana ingia?
Sisi wanyonge wa ccm tuliomba mchapishe form 2 za urais kupitia ccm walau na Membe apate moja mkadai mashine ya kuprint imeharibika. Bure kabisa wanalumumbaKukodi air time kwenye TV Ni gharama kubwa . Tunaomba chadema tuonyesheni tu live kipande kile Cha kupiga kura na kuhesabu tu mengine mwaweza acha kupunguza gharama
Naunga mkono hoja.Kukodi air time kwenye TV Ni gharama kubwa . Tunaomba chadema tuonyesheni tu live kipande kile Cha kupiga kura na kuhesabu tu mengine mwaweza acha kupunguza gharama
" Over my dead body", hiko hakiwezekani
Hivi mnapidhibiti vyombo vya habari, dola na vya maamuzi inawasaidia kukubalika miongoni mwa jamii ?!. Ukipata ushindi ktk mazingira hayo unapata wapi ushujaa wa kuwananga wapinzani wako ?!.Mmmmmm hata YouTube live mumepigwa marufuku? Acha uongo
Kalipieni pesa media mtangazwe acheni uongo ohh Media zimedhibitiwa wao wanataka pesa tuHivi mnapidhibiti vyombo vya habari, dola na vya maamuzi inawasaidia kukubalika miongoni mwa jamii ?!. Ukipata ushindi ktk mazingira hayo unapata wapi ushujaa wa kuwananga wapinzani wako ?!.
Yehodaya , kumbuka 2015 angalau ITV walikuwa fair kidogo tu. Ni nini kilichowakuta?! Mzee Mengi na Spencer Lameck waliishia kushambuliwa mawe, viatu pale Lumumba mpaka walipookolewa na gari la waziri Membe. Zaidi wakapigwa faini za kutosha na kutishiwa kufungiwa.Kalipieni pesa media mtangazwe acheni uongo ohh Media zimedhibitiwa wao wanataka pesa tu
Ukisema pesa Ndio imewadhibiti Ni kweli sababu huhitaji walipwe wakutangaze ndio kazi yao wao sio NGO ya kujitolea bure. Lipeni pesa mtangazwe
Huku hakuna shida je mtaweza kuruhusu uchaguzi angalia matokeo ya Urais yahesabiwe vituoni maajibu yapatikane hapohapo?Kalipieni pesa media mtangazwe acheni uongo ohh Media zimedhibitiwa wao wanataka pesa tu
Ukisema pesa Ndio imewadhibiti Ni kweli sababu huhitaji walipwe wakutangaze ndio kazi yao wao sio NGO ya kujitolea bure.Lipeni pesa mtangazwe
Kukodi air time kwenye TV Ni gharama kubwa . Tunaomba chadema tuonyesheni tu live kipande kile Cha kupiga kura na kuhesabu tu mengine mwaweza acha kupunguza gharama
Unadhani kuna mtu anaweza kumshinda Lisu kwa nafasi hiyo ndani ya CHADEMA? Labda kama mmepandikiza wajumbe wenu.Kukodi air time kwenye TV Ni gharama kubwa . Tunaomba chadema tuonyesheni tu live kipande kile Cha kupiga kura na kuhesabu tu mengine mwaweza acha kupunguza gharama
Ondoa gharama; jiulize ni TV gani isiyojipenda Tanzania irushe live mkutano wa CHADEMA. Hadi vitambaa (Bendera) hawataki kuziona kwenye eneo la Ukumbi wa mkutano.Kukodi air time kwenye TV Ni gharama kubwa . Tunaomba chadema tuonyesheni tu live kipande kile Cha kupiga kura na kuhesabu tu mengine mwaweza acha kupunguza gharama