Uchaguzi 2020 CHADEMA: Tunamuunga mkono Maalim Seif kwa Urais Zanzibar. Lissu hataendelea na kampeni, atapangiwa majukumu mengine

Nilijua tu chadema hawawezi kufanya lolote,ni tanapa tu wa mitandaoni walikua wanatokwa na mapovu
Hatua ya kumfungia lissu siku 7 ni ahueni kubwa sana kwa chadema
chama hakina pesa hali ni mbaya sana
 
Hui ni mwiba mkali kwa ccm! Walidhani kweli kuwa Lissu angekataa amri ili NECccm ipate sababu ya kumwondoa! Lakini nia yao mbovu imejulikana!
Mbowe huwa anachukiwa kwa kuwa ana akili nidhamu na hekima pamoja na vision!
Ndiyo maana amepigika sana na ccm kuliko viongozi wote hapa Tz!
 
Kura zote Chadema kwa uonevu wote! Eti Nec inapitisha wabunge na madiwani pale tu wanapoona kuwa hawana madhara kwa
Mpinzani wa ccm!!!!
Dhambi kubwa!
 
Kauli tata za Mbowe: "Sisi tumeshatoa maamuzi kuhusu Zanzibar, tunasubiri ACT watoe tamko kuhusu bsra" baadaye kidogo: "Tanzania vyama vya siasa ni viwili tu, CCM na Chadema, wengine wote walioweka wagombea ni mamluki wa CCM hata kampeni hawafanyi" ACT ni miongoni mwa mamliki haa kampeni hawapigi😂😂
 
Mgombea urais wa Chadema alipopewa adhabu ya kutofanya kampeni kwa kukiuka maadili ya uchaguzi kama ilivyokawaida yake aliropoka kuwa ataendelea na kampeni. Hii ni kwa sababu yeye anajiona yupo juu ya sheria na haogopi sababu tu kuna mabeberu na watu kama akina Amsterdam wapo nyuma yake. Kamati Kuu Chadema imemdhibiti ili atii sheria.

Lissu anasahau kuwa Tanzania ni dola huru ambayo haiwezi kuingiliwa na mabeberu anaowategemea katiaka masuala ya ndani,ili mradi hakuna uvunjifu wa sheria za nchi. Hivyo Lazima atii sheria za nchi.

Kamati kuu ya Chadema imechelewa kumdhibiti Lissu kuropoka hovyo na hili limesababisha kuwauzi watanzania na kwa namna moja au nyingine hawatampigia kura yeye na wagombea wengine wa Chadema.

Lissu aliwatukana watanzania kuwa hawajui kiingereza, na inafikia hatua akiwa huko Ubelgiji huwa anaona aibu anaposikia Watanzania wanaongea Kiingereza. Hii ni Lugha mbaya sana kwa mgombea anaeomba kura, kamati kuu ilitakiwa kumdhibiti mapema lakini ilifeli.

Kamati kuu imechelewa kumdhibiti Lissu ili ajikite muda mwingi kunadi sera za chama chake, lakini amekuwa akitoa tuhuma za yeye kupigwa risasi na vyombo vya dola huku rafiki yake Ansbert Ngurumo akitoroka kwenda Ulaya. Lissu alipaswa adhibitiwe na kamati kuu mapema, hizi tuhuma ni mbaya sana, zitamletea matatizo.

Mbaya zaidi ni kuwatukana watumishi wa umma kuwa rais anawaokota majalalani,hili linakwenda kumnyima Lissu na chama chake kura,maana huwezi kuwaita watumishi wa umma kuwa wanaokotwa majalalani huku wewe ukitarajia kuwa boss wao. Kamati kuu imechelewa kumdhibiti Lissu kufahamu namna ya kutumia jukwaa kuomba kura.
 
Katika ulimwengu huu sio kila sheria inatunza ustaarabu wa Nchi na watu wake. Kuna sheria kundi lililoshika madaraka linaweza tunga ili kujipendelea ama kufaidika na jambo fulani. Hapa kigezo cha sheria kuwepo kwny nchi hii sio kigezo cha umakini wa serikali hapana asilani.
Katika mchakato huu wa Uchaguzi tumeona na watu wote wenye ufahamu wameona udhaifu mkubwa wa vyombo vyetu fulani na sheria kandamizi fulani fulani.
Kuhusu Hoja ya Lissu..hapo juu ni kwamba hawezi mtu aliendani ya mfumo huu awe mshauri wa mambo ya wapinzani labda atoke vyama" Puppet"!! Tufanye siasa safi ili kujenga nchi yetu basi!!

Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app
 
Hujui kitu na hujui kwanini CDM wameona Lissu akubali tu msifikiri watu hawana akili, mipango hupangwa na tena kuna zaidi ya akili ya binadamu kwenye haya mambo subirini.
 
Wewe ni zaidi ya kafir.
Vipi wewe umekuwa malaika wa zamu au umekuwa nani? Je unapata wapi mamlaka ya kuniita mimi kafir? Hebu kakojoe kwanza jitafakari halafu rudi hapa kujenga hoja achana na mambo ya kutaka kugawa watu kwa dini zao.
 
Hapa sijahusisha dini na siasa, nilikuwa naku challenge katika morals na principles zako hususan ukiwa Mwislam(basing on your name).
Simamia HAKI...hilo la saa moja lifuatilie vizuri ikiwepo sababu ya kucheleweshwa kwa msafara kulikosababishwa na mamlaka za dola.
Umeihusianisha dini wala hupaswi kubisha
Lete ushahidi hapa hivyo vyombo vya dola vimesababisha vipi kuchelewa kwa msafara?
 
Usichulie rahisi rahisi ni vizuri kuomba lisu awe mpole na nec wawe wapole Lakin ukichukulia kirahisi na chuki zako za kijinga basi hayo mawazo yako itaigalimu nchi na chama Chako
 
Back
Top Bottom