Drat
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 966
- 1,069
Nimekukumbusha tu, na narudia tena kama wewe ni mwislamu simamia HAKI, kwa nafasi yako.Umeihusianisha dini wala hupaswi kubisha
Lete ushahidi hapa hivyo vyombo vya dola vimesababisha vipi kuchelewa kwa msafara?
Kama CDM wakifanyiwa tofauti kiri kuwa ni jambo baya. Wakati huo endelea na CCM yako katika mambo yanayokubalika yani ya HAKI.
Ukinijibu hilo gusia na la Lissu kuzuiwa Kiluvya,na what if akaamua kwenda stand ya Mbagala kusubiri apande daladala kwenda Tegeta mtamzuia?