CHADEMA tunadanganywa, tujifunze kusoma Habari kamilifu sio vichwa vya Habari

Ngosha255

JF-Expert Member
Mar 29, 2013
403
500
Ukipita kwenye pages za mitandao ya kijamii hasa kwa Makamanda CDM report ya TWAWEZA imeteka headlines,
"JPM anukubalika vijijini na kwa masikini wenye maisha duni!"

Lakini ukweli mchungu hata mjini na kwa wasomi hakuna sehemu tuliyoongoza hata moja

41ae7ba303c29f671eb7e983c43c4672.jpg

d5e92a69e9450a94c5c95f9a2ce79263.jpg

CCM imeshuka kweli lakini pande zote vijijini na mjini Kwa wasomi na makabwela bado wanatuzi kwa mbaali
 
MAGALEMWA

JF-Expert Member
Jul 8, 2015
6,283
2,000
Mkuu Magu anaendesha siasa na CCM yake. Vyama vya upinzani ni hadi 2020. Ebu toa uchambuzi wako kwa changamoto hiyo.
 
Kipapatiro

JF-Expert Member
May 18, 2017
1,129
2,000
Ukipita kwenye pages za mitandao ya kijamii hasa kwa Makamanda CDM report ya TWAWEZA imeteka headlines,
"JPM anukubalika vijijini na kwa masikini wenye maisha duni!"

Lakini ukweli mchungu hata mjini na kwa wasomi hakuna sehemu tuliyoongoza hata moja

41ae7ba303c29f671eb7e983c43c4672.jpg

d5e92a69e9450a94c5c95f9a2ce79263.jpg

CCM imeshuka kweli lakini pande zote vijijini na mjini Kwa wasomi na makabwela bado wanatuzi kwa mbaali
Tafiti Za kissenge hizi
 
misasa

JF-Expert Member
Feb 5, 2014
11,244
2,000
Mkiacha huu usenge wa kutukanatukana mkafanyia kazi hizi tafiti, hata kama ni chungu, itawasaidia sana!! Ila kwa vile akili zenu zote sahv kazishika mtundunya kisu mtabwabwaja hadi 2020 mnaambulia 20%
wanataka kusikia tafiti za kusifiwa tu mkuu. Ngoja wafurahi sasa chadema 90% ccm 37%, mmefurahi sasa cdm?
 
Crimea

JF-Expert Member
Mar 25, 2014
14,985
2,000
Alafu wanasingizia eti kisa Magu kapiga marufuku siasa!

Wakati wao wanakomaa na ishu ya njaa, tetemeko kgera, bashite, ukame na n.k, ccm wenyewe walikuwa busy kujenga nchi.

Endeleeni kumtukana rais kwa matusi ya kila aina, huku roli mode wenu akiwa mange!

Nlimshngaa sana Lowasaa akiwasifu vijana wa mitandaoni eti wanafanya kazi nzuri,

Hivi wale vijana waliokuwa kwenye page ya tanzagiza ndio aliokuwa anawasifia Liwassa? Wale ndio anawategemea kuongeza idadi ya kura na uungwaji mkono kwa chadema?

Gwajima ndo anategemewa awe alianzisha dude alafu wana Chadema wanashangilia kwamba wanaonheza wafuasi?

Aibu hii!
 
Waterloo

JF-Expert Member
Nov 30, 2010
21,145
2,000
Nipe takwimu cdm ilipoongoza mkuu sio maneno
Kuongoza kufanyaje? Watu hamjui hata utafiti unafanywaje. Hizo ni sample tu unaweza kukuta waliohojiwa hawafiki hata hamsini. Usidhani hao twaweza walipita nchi nzima..
 
lameckkawawa

JF-Expert Member
Sep 13, 2015
939
1,000
Alafu wanasingizia eti kisa Magu kapiga marufuku siasa!

Wakati wao wanakomaa na ishu ya njaa, tetemeko kgera, bashite, ukame na n.k, ccm wenyewe walikuwa busy kujenga nchi.

Endeleeni kumtukana rais kwa matusi ya kila aina, huku roli mode wenu akiwa mange!

Nlimshngaa sana Lowasaa akiwasifu vijana wa mitandaoni eti wanafanya kazi nzuri,

Hivi wale vijana waliokuwa kwenye page ya tanzagiza ndio aliokuwa anawasifia Liwassa? Wale ndio anawategemea kuongeza idadi ya kura na uungwaji mkono kwa chadema?

Gwajima ndo anategemewa awe alianzisha dude alafu wana Chadema wanashangilia kwamba wanaonheza wafuasi?

Aibu hii!

Mkuu mbona Una jazba sana jenga hoja tu watakuelewa
 
Waterloo

JF-Expert Member
Nov 30, 2010
21,145
2,000
Na masikini na wajinga ndio wengi hivyo wataendelea kushinda au sio...
Tunapambana kuwapa elimu wajitambue.lakini pia kwa mwenendo wa hali ya uchumi kwa sasa mbona wataisoma namba. Huko vijijini wanashindia uji wa ubuyu wana hali ngumu vibaya sana.sisi cha kuwaambia adui wa maisha yao ni CCM. Only that wataamua
 
Ngosha255

JF-Expert Member
Mar 29, 2013
403
500
Kuongoza kufanyaje? Watu hamjui hata utafiti unafanywaje. Hizo ni sample tu unaweza kukuta waliohojiwa hawafiki hata hamsini. Usidhani hao twaweza walipita nchi nzima..
Kumbe unajua tafiti zinavyofanywa na bado unasema tunapendwa na matajiri na wenye elimu?
 
the glassroof

JF-Expert Member
Apr 25, 2017
259
500
Hii TWAWEZA inaonekana inaonekana ina kaharufu ka kijani, nawashauri CDM nao waanzishe TWASHINDWA ifanye tafiti ije na majibu mbadala. Tumechoka.
 
Simiyu Yetu

JF-Expert Member
Apr 29, 2013
18,940
2,000
Kuongoza kufanyaje? Watu hamjui hata utafiti unafanywaje. Hizo ni sample tu unaweza kukuta waliohojiwa hawafiki hata hamsini. Usidhani hao twaweza walipita nchi nzima..
Wewe umefanya wapi ukahoji watu milioni kumi ili tukuamini.
 
chabusalu

JF-Expert Member
Apr 29, 2016
7,873
2,000
Alafu wanasingizia eti kisa Magu kapiga marufuku siasa!

Wakati wao wanakomaa na ishu ya njaa, tetemeko kgera, bashite, ukame na n.k, ccm wenyewe walikuwa busy kujenga nchi.

Endeleeni kumtukana rais kwa matusi ya kila aina, huku roli mode wenu akiwa mange!

Nlimshngaa sana Lowasaa akiwasifu vijana wa mitandaoni eti wanafanya kazi nzuri,

Hivi wale vijana waliokuwa kwenye page ya tanzagiza ndio aliokuwa anawasifia Liwassa? Wale ndio anawategemea kuongeza idadi ya kura na uungwaji mkono kwa chadema?

Gwajima ndo anategemewa awe alianzisha dude alafu wana Chadema wanashangilia kwamba wanaonheza wafuasi?

Aibu hii!
Ulitaka Chadema wafanyeje kwa mfano katika mazingira ambayo hata mahafali ya Chaso tu ni shida? Chadema wakionekana wamekusanyika tu defender zinajazwa mafuta! halafu kawaulize Twaweza kama Chadema wanakubalika miongoni mwa wasomi na makundi walioonyesha, sampling yao ilikuwaje katika hiyo idadi ya watu 1800? Nilifikiri pigo liko kwa yule aliyeshuka kwa asilimia zaidi ya 20 licha ya kutumia maguvu mengi kuzuia wenzake wasifanye siasa!
 
zitto junior

JF-Expert Member
Oct 7, 2013
13,154
2,000
Mkiacha huu usenge wa kutukanatukana mkafanyia kazi hizi tafiti, hata kama ni chungu, itawasaidia sana!! Ila kwa vile akili zenu zote sahv kazishika mtundunya kisu mtabwabwaja hadi 2020 mnaambulia 20%
Dah hii nchi Bwana siku TWAWEZA walisema kati ya wagombea wote wa urais lowasa ndio anakubalika zaidi kina january na nape wakasema TWAWEZA imehongwa ile leo hii tukiipinga magamba mnasema tunapuuzia tafiti????

Yani kwa akili yako sample ya 1800 ndio inatoa picha kubwa ya wapiga kura milion 24
 
zitto junior

JF-Expert Member
Oct 7, 2013
13,154
2,000
Wewe umefanya wapi ukahoji watu milioni kumi ili tukuamini.
Si muitishe kura ya maoni angalau ila zaidi ya hapo ni kudanganyana tu...... hta waliwahi kudai lowasa anakubalika kuliko wanasiasa wote ila alipohamia upinzani alikuwa anakubalika kwa 30% pekee haaaahaaaaaaa
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom